Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,296
- 18,027
Wazee wa kuilalamikia viporo kwa kutumia Msemaji wao wanajulikana. Kwa Yanga havichachiYanga bhana..
1. Mlipangiwa mechi 3 za mwanzo ugenini.. Mkalalamika
2. Mkapangiwa mechi 11 nyumbani.. Mkafurahi
3. Sasa mpo nyuma mechi 2.. Mnapiga kelele, utafikiri hamtacheza hivyo viporo vyenu