SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 3,109
- 6,323
ilikuwa kabla ya uhuru nadhaniMambo yanabadilika kwa kasi sana, zamani hasa vijijini tuliishi bila umeme, lakini kwa Sasa umeme ukikata kidogo tu, makelele ni mengi sana.
This gyal need therapyKama hii thread imeandikwa na mtu ambaye ali exist kabla ya Internet, basi inabidi waliokuwepo kabla ya internet wafanyiwe uchunguzi wa usalama wa akili zao
Therapy inatakiwa uanze weweThis gyal need therapy
We mzee 😂😂😂Kama hii thread imeandikwa na mtu ambaye ali exist kabla ya Internet, basi inabidi waliokuwepo kabla ya internet wafanyiwe uchunguzi wa usalama wa akili zao
Ila mkuu huwa unanishangaza sana.This gyal need therapy
= InternetKabla haijaja internent hii michezo watu wengi walikuwa wanacheza
Wewe ni shot..Therapy inatakiwa uanze wewe
😍Ila mkuu huwa unanishangaza sana.
Siku unaweza amka ukawa na reaction ya dislike alday,mara siku react ya like.
Aiseee!!
Hata kipindi cha kikwete watu wameishi kama zama za mawe za kale. ( umeme wao ilikuwa ni kutembea na vijinga vya moto hasa mida ya usiku )ilikuwa kabla ya uhuru nadhani
Mnaelewana na mtoa mada eeh??Hata kipindi cha kikwete watu wameishi kama zama za mawe za kale. ( umeme wao ilikuwa ni kutembea na vijinga vya moto hasa mida ya usiku )
KweliThis gyal need therapy
Pole sana, mpaka sasa tz haijafikia %70 ya wananchi wakeilikuwa kabla ya uhuru nadhani