SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 3,109
- 6,323
- Thread starter
-
- #21
2001Internet ilianza kutumika tanzania mwaka gani kwani?
Ova
SijaelewaPole sana, mpaka sasa tz haijafikia %70 ya wananchi wake
Anazungumzia mambo ya kale.... 🥸 🥸Mnaelewana na mtoa mada eeh??
Duh kumbe wengine malegendary kutumia net maana tumeaanza kutumia kabla ya hyo 20012001
Wewe.ndio unahitaji masaa yote unawaza ngono tuThis gyal need therapy
Akili ya utambuzi sio kila mtu anayo umetokea wewe.tu unayo akili yako bado hawajaivurugaAnazungumzia mambo ya kale.... 🥸 🥸
Hii watu wa mwisho kabisa Kwa huku dar kucheza Ni watoto waliozaliwa miaka ya 1990Kabla haijaja internent hii michezo watu wengi walikuwa wanacheza
View: https://youtu.be/Enwz8NgCCHw?si=Vg-4_geq9vYziWk0 kama hii
Ni maisha fulani hivi yalikuwa matam sana..Akili ya utambuzi sio kila mtu anayo umetokea wewe.tu unayo akili yako bado hawajaivuruga
Sikuhizi watoto hawachezi sana kama Zamani