Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kupandishwa daraja watumishi hawapandishwi kwa wakati, wapo watu zaidi ya miaka sita hawajapandishwa daraja ni Basi tu wanasiasa walishatuwini siku nyingi akili zetu.Hata mimi nikiambiwa nichague kupandishwa daraja kwa wakati na kuongezewa mshahara, nitachagua kupandishwa daraja (Kila mfanyakazi ana sifa hiyo kila baada ya miaka 3)
Mshahara anaweza kukuongezea elfu 20 tu! Lakini kiwango kinacho ongezeka kwenye upandaji wa madaraja huendana na muda wa mfanyakazi kazini. Na unakuta siyo chini ya laki 1!
Nyie wengi humu hamjielewi.Hata mimi nikiambiwa nichague kupandishwa daraja kwa wakati na kuongezewa mshahara, nitachagua kupandishwa daraja (Kila mfanyakazi ana sifa hiyo kila baada ya miaka 3)
Mshahara anaweza kukuongezea elfu 20 tu! Lakini kiwango kinacho ongezeka kwenye upandaji wa madaraja huendana na muda wa mfanyakazi kazini. Na unakuta siyo chini ya laki 1!
Nyie wengi humu hamjielewi.
Mimi June 2020 ninatimiza miaka 5 ya utumishi wa umma (sio mwalimu), sijapanda daraja kama unavyoleta propaganda hapa. Sina onyo la barua wala mdomo.
Kwa hakika serikali hii inaleta usanii kwa watumishi wa umma.
Nyie wengi humu hamjielewi.
Mimi June 2020 ninatimiza miaka 5 ya utumishi wa umma (sio mwalimu), sijapanda daraja kama unavyoleta propaganda hapa. Sina onyo la barua wala mdomo.
Kwa hakika serikali hii inaleta usanii kwa watumishi wa umma.
Kwa nini wasingelipwa? Kwani shule zinazalisha fedha ili kwamba tuseme kwa vile zilifungwa basi hazikuzalisha hivyo wasilipwe? Shule za serikali zooote fungu la mshahara lilishatengwa na hhaya shule zilipofungwa mishahara ilikuwepo. Mantiki ya hapa ni kuwa siyo fadhila kulipa walimu bali ni wajibu. Sema huyu Mzee anapenda sana sifa na hata akifanya kitu cha kutimiza wajibu anataka kuabudiwa.binadamu buana MNA kazi,, asinge walipa mngetia neno kawa lipa mnatia neno tena si kwa kuona kuwa amefanya jambo zuri,. Kumbuka kuwa hao walimu wanawakuwategemea nyuma yao.
ungenambia kwenye kuwaongezea na kuwapandisha madaraja,hapo unge kuwa umenena sambamba na watanzania, ila kila MTU anamaoni yake,
Nimekuelewa mkuu,Kwa nini wasingelipwa? Kwani shule zinazalisha fedha ili kwamba tuseme kwa vile zilifungwa basi hazikuzalisha hivyo wasilipwe? Shule za serikali zooote fungu la mshahara lilishatengwa na hhaya shule zilipofungwa mishahara ilikuwepo. Mantiki ya hapa ni kuwa siyo fadhila kulipa walimu bali ni wajibu. Sema huyu Mzee anapenda sana sifa na hata akifanya kitu cha kutimiza wajibu anataka kuabudiwa.
Kwao ni pongezi kulipwa mshaharaMikataba yao inadai walipwe mshahara kila mwezi bila kujali wako likizo ya covid au la, mshahara utasitishwa siku atakapostaafu kazi au kuacha au kuachishwa kazi..
Watatumika kwenye zoezi la ukwapuaji wa kura halali 2020 October