Kabla hamjaanza kumsifia Magufuli kwa kulipa Walimu mishahara miezi 2 lazima mtambue haya

Ujinga ni mzigo na ni kama sifa kwa watanganyika, maadui watatu wa Nyerere bado ni kitendawili.

Uliona wapi mishahara serikalini kusitishwa kisa likizo.?
 
Hata kupandishwa daraja watumishi hawapandishwi kwa wakati, wapo watu zaidi ya miaka sita hawajapandishwa daraja ni Basi tu wanasiasa walishatuwini siku nyingi akili zetu.
 
Nyie wengi humu hamjielewi.
Mimi June 2020 ninatimiza miaka 5 ya utumishi wa umma (sio mwalimu), sijapanda daraja kama unavyoleta propaganda hapa. Sina onyo la barua wala mdomo.
Kwa hakika serikali hii inaleta usanii kwa watumishi wa umma.
 
Kipindi hiki watu ni wanafiki balaa , wana njaa ila wanajifanya wameshiba
Hakika ni noma sana
 
Nyie wengi humu hamjielewi.
Mimi June 2020 ninatimiza miaka 5 ya utumishi wa umma (sio mwalimu), sijapanda daraja kama unavyoleta propaganda hapa. Sina onyo la barua wala mdomo.
Kwa hakika serikali hii inaleta usanii kwa watumishi wa umma.

Inaumiza si kidogo
 
Hongera sana kijana kwa kujielewa! Natamani kufahamu hatua ulizochukua wewe kama wewe baada tu ya kutopandishwa hilo daraja kwa wakati. Si unajielewa!!
 
Kwa nini wasingelipwa? Kwani shule zinazalisha fedha ili kwamba tuseme kwa vile zilifungwa basi hazikuzalisha hivyo wasilipwe? Shule za serikali zooote fungu la mshahara lilishatengwa na hhaya shule zilipofungwa mishahara ilikuwepo. Mantiki ya hapa ni kuwa siyo fadhila kulipa walimu bali ni wajibu. Sema huyu Mzee anapenda sana sifa na hata akifanya kitu cha kutimiza wajibu anataka kuabudiwa.
 
Nimekuelewa mkuu,
 
Mikataba yao inadai walipwe mshahara kila mwezi bila kujali wako likizo ya covid au la, mshahara utasitishwa siku atakapostaafu kazi au kuacha au kuachishwa kazi..
 
Hii kada ya teaching ina mazwazwa wengi sana.
Unafiki unafiki tu,nlitegemea viongozi wa CWT wakomae kuwapigania walimu walau wawe wanapewa allowance km ilivyo upande wa majeshi yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…