Kabla hamjampeleke Messi Singano polisi mkataba wake ulikuwa hivi

Kwenye hii issue ninachokiona ni hivi.. hata jana mzee kinesi amelizungumzia pia ingawa kwa juu juu. Kipindi kile cha utawala wa Rage Makamu Mzee Kinesi baada ya Kaburu kujiuzulu. Wachezaji wengi wa Simba walipigwa chini baada ya kuona wanahujumu timu kama mnakumbuka kina Maftah Nyoso Boban na wengineo. Timu ikabaki nyeupe mno. Wakapandishwa watoto kibao wa Simba B kina Messi Hassan Isihaka Ndemla Rashid Mkoko Kiparamoto Gallas Hassan Hatibu walikuwa wengi karibu 13. Kuna baadhi walipewa mkataba wa miaka 3 wengine 2. Baadhi ya waliopewa miaka miwili ni Ndemla ambaye juzi juzi ameongeza mkataba mwingine n mmojawapo ambaye alipewa miaka mitatu ni nahodha wa sasa Hassan Isihaka ambaye simba juzi juzi nae kwakuwa alibakiza mwaka mmoja viongozi wamemwongezea miaka mingine miwili inakuwa mitatu pamoja na kumboreshea baadhi ya vipengele vya mkataba. Inawezekana hata messi alisaini mkataba wa miaka mitatu sababu kwa muda ule ni wachezaji wawili au watatu wa simba B walikuwa wanakuja vizuri ambao ni Messi n Mkude. Ingawa Mkude alipewa mkataba mapema sana msimu m1 kabla.
 
acha bangi basi umbumbumbu wa mikia utaujumlishaje na YANGA ? wapi umeona yanga kafanya ujinga kama huo ?? vitu vingine tumia akili mkuu usiongozwe ns ushabiki maandazi hiyo ni kawaida ya mimba rejea sakata la chuji, yondani na sasa singano

Ni kweli navuta bhangi mkuu,hasa nikiwa na mama.ko mkuu.hajakwambia?...pambavu...mpira kufuatilia juzi nini?...pinga nilichoandika kwa hoja usilete matusi..
 
hiyo mitusi mnayotukana muda mwengine mnatukana ndugu zenu bahati mbaya sana mmeficha majina yenu hivi na mada hii ina dalili ya matusi kweli?
 
Hii nchi ina vijana wengi sana wanasheria,hivi hawa wachezaji wanakosa mwanasheria wa kuwawakilisha kweli.?kwenye milion 50 unakosa ata million ya kumlipa mwanasheria.!

Ifikie kipindi tubadilike swala la mikataba ni sensitve sana,hata nchi 5umrona inapigwa na kina singasinga kwa maswala haya haya ya mikataba,kwa hili simtetei mtu,kila mtu anawajibu wake katika kusain mkataba vitu vingn ni uzembe.
 
Mpira wa Tanzania kuendelea ngumu. Wachezaji hawajielewi, timu hazieleweki, viongozi wa timu hawaeleweki kabisa
 

Simba Hatuna Shabiki POPOMA Kama Wewe!
 
akuna.kiziri.kama kujua ukweli

huyu mtoto n mjinga ukiona ata wakala wako unamdangamganya wewe n popompo...dogo alimwambia.kakayake hajasaini.mkataba wa miaka 3---kaka akaingia chaka akalalama dk kumi clouds...bada ya siku mbili anahojiwa dogo anasema kweli kuna.mkataba.kinesi.ama kinyesi kiongozi wa simba akimsainisha na kumhaidi mafao zaidi anacholalamika akuna.kilichotekelezwa


aisee niliumia.nkasema hvi kakake.anamsikiliza.ama asikii anachoongea dogo..akakiri kweli amesaini wa miaka 3

swala la umetimiziwa ujatimiziwa hilo alihusiani na saini

so tusiingie chaka simba wanajua walichofanya..
 
Hata kwenye ndoa hkiingia kuna wanaopekeka moto kila siku ukasema huyu si mume baada ya siku unaanza kudai kazini stress..ooh ...ntarudibadae
 
Gent..m shabiki wa yanga siku kakake anaelezea niliumia sana dogo alipohojiwa nkasema Hana adabuu kabsaa..kaka anadai ana mkataba mmoja dogo anasema wapili alisaini akahaidiwa mafao zaidi..sio nnssf..akadai bima.nyumba..hope akuomba na mke wamtafutie..ongawa akakubali simba walimpa nyumba baada ya miezi sitaa..swala n ulisaini ukusaini..umepewa ujapewa kilichosainiwa haYo yana sehmuyakudai
 
Inavyoonesha huyu dogo hata akili za kawaida hana, kwanin alisema ana mkataba wa miaka miwili ilhal alijua kuwa amesain mkataba wa miaka 3!!

Tatizo la huyu dogo alikuwa na mawazo ya kizamani ya kucheza mpira kimahaba akasahau kuwa kucheza mpira ni kaz kama kaz zingine, Amestuka baada ya kuona mwenzake Mkude akilamba milioni 60 na mshahara wa mil 2.5, huku yeye akiendelea kuwa na jina kubwa lakin akiishia kukamata laki 7 kwa mwezi.

Leo kashtuka usingizini anakata na yeye alipwe kama mkude akakuta wenzake wameshamuwahi kwa kumtia mkataba wa miaka 3.

Siku zote unaambiwa ng'ombe wa masikin hazai na akizaa huzalia kwenye tundu la siafu.
 
Sk watz tukiziondoa kwenye vichwa vyetu cmba na yanga timubya taifa itacheza kombe la dunia maana hivi vilabu ni virus
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…