Kabla hujabadilisha automatic gearbox ya gari lako soma hapa

Mada nzuri...
 
Habari mkuu samahani naomba kuelewa kitu kwenye maelekezo yako Una maana kabla ya kubadili gearbox ya automatic ni lazima kufanya iyo diagnoses?
 
Habari mkuu samahani naomba kuelewa kitu kwenye maelekezo yako Una maana kabla ya kubadili gearbox ya automatic ni lazima kufanya iyo diagnoses?

Labda sijaeleweka. Lengo la mimi kuandika lilikuwa ni vizuri ukajiridhisha kama shida ni engine au gearbox.

Maana gearbox inaweza ikashindwa kubadili gear kwa sababu ya engine. Hapo hata ununue gearbox 10. Zote utaona ni mbovu.

Nilichokieleza hapo kila mtu anaweza kujaribu kwenye gari lake. Bila hata kuita fundi.

Ingawa pia yapo matatizo kwenye gearbox ni madogo na mtu anaweza kurekebisha bila kubadili gearbox. Hapo ndo anaweza akaenda kwa mtu akapima.
 
Asante sana nime kupata
 

Corolla yenye engine ya 5A Fe ina speed sensor ngapi na ni sensor ipi inayopeleka signal kwenye speedometer? Kutoka kwenye gearbox
 
Corolla yenye engine ya 5A Fe ina speed sensor ngapi na ni sensor ipi inayopeleka signal kwenye speedometer? Kutoka kwenye gearbox
Zinaweza kuwa mbili.... Hapo mpaka uchomoe moja moja ndio utajua ipi ni ipi.
 
Slipping clutch pack ya gia namba 3. Inamaanisha gari yako inatembelea gia 1 na 2. Ikitaka kwenda namba 3 inakuwa free kwa sababu clutch zimekwisha


Kwenye gearbox automatic gear changing haifanywi na clutch pack moja.

Gearbox kama hiyo ya Harrier U140 series inakuwa na clutch pack 8. Na kila moment gari inapobadili gear kunakuwa na clutch pack 3 mpaka 5 ambazo zinafanya kazi combined.

Hii ni Structure ya gearbox za U140/U240 series ambayo mojawapo ndio inafunga kwenye Harrier. Hapo wameonesha Clutch pack zote 8 na zipo zinakuwa ON gari inapokuwa kwenye gear fulani.




Huu ni mfano wa forward clutch na wameonesha clearance hivyo inakuwa ni rahisi kujua kama clutch zimeisha au lah.



I hope nimeeleweka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…