Kabla hujabadilisha automatic gearbox ya gari lako soma hapa

Asante Sana mkuu kwa huu Uzi, gari yangu ina hiyo tatizo, unakanyaga accelerator, then inaunguruma speed haivuki hata 50, then ukizima tena na kuwasha inakubali, hua inatokea na kupotea mara kwa mara.
 
Gari aina gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…