Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,391
- 3,849
Kiingereza nii lugha ngumu kwa wengine na kwa wengine ni lugha rahisi sana, wanavyoita vitu kwa majina waingereza wanatofautiana kidogo na wamarekani ebu ona tofuti na ujifunze kitu ili cha uingereza usipeleke Marekani.