Kabla hujaenda Uingereza na Marekani lazima uyajue haya ili usibwage manyanga, huku wanaita hivi, kule wanaita hivi

Kabla hujaenda Uingereza na Marekani lazima uyajue haya ili usibwage manyanga, huku wanaita hivi, kule wanaita hivi

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
3,391
Reaction score
3,849
Kiingereza nii lugha ngumu kwa wengine na kwa wengine ni lugha rahisi sana, wanavyoita vitu kwa majina waingereza wanatofautiana kidogo na wamarekani ebu ona tofuti na ujifunze kitu ili cha uingereza usipeleke Marekani.

42591504_2721276567898032_6501413041018503168_n.jpg
42607825_2721276414564714_7791718338832367616_n.jpg
42611654_2721276614564694_8373772543009488896_n.jpg
42629477_2721276681231354_2108920931945545728_n.jpg
42636030_2721277067897982_4300129022056071168_o.jpg
42699589_2721276031231419_7124327081558671360_n.jpg
42703954_2721276361231386_8053878190482915328_n.jpg
42716281_2721276234564732_2278831938414313472_n.jpg
42727697_2721276497898039_4119779376747249664_n.jpg
42756588_2721276294564726_7337423254044278784_n.jpg
42778485_2721276094564746_7605568396024872960_n.jpg
 
Kiingereza nii lugha ngumu kwa wengine na kwa wengine ni lugha rahisi sana, wanavyoita vitu kwa majina waingereza wanatofautiana kidogo na wamarekani ebu ona tofuti na ujifunze kitu ili cha uingereza usipeleke Marekani.

View attachment 881268View attachment 881269View attachment 881270View attachment 881272View attachment 881273View attachment 881274View attachment 881275View attachment 881276View attachment 881277View attachment 881278View attachment 881279
Asante kwa taarifa mkuu
 
Ukitaka kitu utakijua tu huko huko ushamba mwanzoni ila mbelen utakuwa mjanja.. ujisema ujue matamshi yote utabakia bongo tu.. unanikumbusha kipindi naenda China watu walinisema ooh nitazungumzaje nikajibu kitaeleweka huko huko mapambano hayaitaji uoga nikasonga na nikawa nawasiliana nao kibubu bubu na.kiziwi hahahhaa tembea uone.
 
more important ingekua gharama za kuishi isa na zile za uk ingekua poa sana
 
Kinachotakiwa kuelewana tu, kama kiingereza cha America nikaenda kukiongea kwa Malkia Elizabeth nadhani itakuwa sio mbaya
 
Back
Top Bottom