Ukitaka kitu utakijua tu huko huko ushamba mwanzoni ila mbelen utakuwa mjanja.. ujisema ujue matamshi yote utabakia bongo tu.. unanikumbusha kipindi naenda China watu walinisema ooh nitazungumzaje nikajibu kitaeleweka huko huko mapambano hayaitaji uoga nikasonga na nikawa nawasiliana nao kibubu bubu na.kiziwi hahahhaa tembea uone.