Kabla hujakubali kuolewa wakati humpendi mwanaume muwazie yule mwanaume anaekuoa kwa sababu anakupenda.

Kabla hujakubali kuolewa wakati humpendi mwanaume muwazie yule mwanaume anaekuoa kwa sababu anakupenda.

Ahahaha kuna binti nilimtongoza akaniambia hanipendi
Mimi nika muuliza wapi imeandikwa mwanamke ampende mwanaume?
Nika mwambia anatakiwa ajue Mimi nataka nini kwake basi, pia mimi ndio napenda
The rest was history tulikuja achana kwa sababu zingine
 
Hapa kwenye Pete ya uchumba ni ishara tuu haina lolote maana nadhiri yao walishapeanwa kitambo wakati wameanza mahusiano,kumbuka pia ndoa hufungwa na Mungu pale wanapokua wamepeana nadhiri kwamba tutaoana.siku ya harusi ni ushuhuda wa zile nadhiri walizopeanwa kwamaana ya token.
Mi nawaambiaga raia jinsi mpenzi wako alivyo sasa ndivyo atakavyokuwa kwenye ndoa! Kama ni mbinafsi toka mpo katika uchumba hata mkioana ataendelea kuwa hvyo hivyo, pete na harusi havibadilishagi tabia ya mtu! Ila kuna watu wanajipaga hope atachange,
 
Ahahaha kuna binti nilimtongoza akaniambia hanipendi
Mimi nika muuliza wapi imeandikwa mwanamke ampende mwanaume?
Nika mwambia anatakiwa ajue Mimi nataka nini kwake basi, pia mimi ndio napenda
The rest was history tulikuja achana kwa sababu zingine
Hahaha we jamaa chizi, ntaitumia hii kwa demu yeyote mkali!
 
Ndio maana uchumba haupaswi kukaa zaidi ya miezi sita,kwa maana kuwa uchumba ukikaa zaidi ya hapo mtachukiana huko mbele ya safari
Huwezi kuwa serious! Kimsingi unatakiwa usizidi miaka mitatu kabla ya kuoa ndio utakuwa umefanya screening ya kutosha! Mi mpenzi wangu nilieachana nae seriously niliona tabia zake za kishwaini katikati ya mwaka wa pili! Mfano ningekuerupuka nioe ndani ya miezi 6 ya mwanzo ningehisi nimeoa malaika kumbe kingechokuja kuntokea mbeleni ningejuta! Wana vipaji vya ku pretend sana hawa watu!
 
Hata yeye anajua ex wake atataka amlale tu yaishe ila anampenda ex wake kama kitu gani. Imagine aligonga gari wakati tunaondoka tulipokuwepo badala ampigie mumewe amuambie akampigia simu ex wake eti bby nimegonga gari. Hapo mume kapiga simu kama 100 anazimute hajisikii kuongea nae
Duh, sasa mpenzi wangu hivi unaanzaje ku keep contacts na Ex's wako ilihali tumeshafunga pingu za maisha, hauoni kwamba italeta mifarakano tu? Utawezaje ku connect na mimi kama akili yako iko kwengine bby! Na kumbuka katika mapenzi ni wanaume tu ndio tunaweza multitasking na kugawa resources evenly ila sio kwa mawanamke huwa lazma ataegamia upande mmoja tu!
 
Mie nawafahamu kama watatu walioolewa na wasiowapenda waume zao na hata watoto hawajazaa nao, wamezaa na wengine hukooo. Najiulizaga wanaolewa ili iweje bado sijapata majibu.
 
Mie nawafahamu kama watatu walioolewa na wasiowapenda waume zao na hata watoto hawajazaa nao, wamezaa na wengine hukooo. Najiulizaga wanaolewa ili iweje bado sijapata majibu.
Mungu ahepushe kizazi hiko katika uzao wangu
 
Mungu ahepushe kizazi hiko katika uzao wangu
Amen, walee tu wanao ktk njia ipasayo. Wakiona wazazi wao mko na ndoa ya furaha na amani nao watatamani kuwa na ndoa bora. Walee ktk misingi.
 
Back
Top Bottom