Kabla hujamuoa single Mother jitahidi mjue aliyezaa naye. Kama amekuzidi kipato sitisha mahusiano haraka. Sababu ni hizi;

Kabla hujamuoa single Mother jitahidi mjue aliyezaa naye. Kama amekuzidi kipato sitisha mahusiano haraka. Sababu ni hizi;

Mkuu wanawake wakishakuwa na options kisaikolojia wanaamini Mwanaume ndiye mwenye shida(uhitaji nao) kuliko wao walivyo na shida(uhitaji) na Sisi.
Mkuu, Ndo maana nasema ukishaona umewekwa kwenye hiyo hali automatical brain iswitch to Man Pride mode mahusiano yanafia hapo hapo. Kwani Yeye ana uspecial gani mpaka mahusiano yawe ya hisani?
Ndio maana kukudharau(linganisha na wengine waliobora kukuliko) ni kugusa tuu

Mwanamke anaweza kukuhitaji lakini kama alikuwa mwanaume hapo nyuma aliyezaidi yako atabaki kumheshimu kuliko wewe. Mifano ipo mingi tuu.
Hakuna haja ya kuniheshimu kwa mashindano, aheshimu viapo vyake inatosha maana ndo vinatafsiri thamani yake kwangu otherwise hana thamani.
 
Na nikuambie tuu kama mwanamke alizaaa na mwanaume anayempenda Sana au mwenye hadhi ya juu kamwe hawajutii na wako proudly na maamuzi yao

So ni wewe mwanaume lower your standards uwe naye, lakini yeye mwanamke atabaki katika kiwango kilekile.
Ha-assume kwamba umemuonea huruma ni kwamba yeye ndiye kakuonea huruma
😃
 
Mkuu, Ndo maana nasema ukishaona umewekwa kwenye hiyo hali automatical brain iswitch to Man Pride mode mahusiano yanafia hapo hapo. Kwani Yeye ana uspecial gani mpaka kuwa nae iwe ni Win-Lose?

Hakuna haja ya kuniheshimu kwa mashindano, aheshimu viapo vyake inatosha maana ndo vinatafsiri thamani yake kwangu otherwise hana thamani.

Na mpaka uweze hivyo ujue wewe ni mwanaume kweli. Kwamba nawe Una options za kutosha hasa options za kiuchumi
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Hata mimi ni dada zangu, binti na Mama zangu. Kama wewe huoni tatizo lililopo ni wewe.

Huelewi hata msingi mkuu wa maadili ya Jamii na taifa uko wapi. Sio ajabu unaona ninawaandama.

Kama inakukera, unaweza kuniweka ignore list yako. Ili uendelee kuishi bila shida.
Kaka endelea kushusha madini japo huyu wangu namuona kama malaika
 
Uoe single mother wa nn wakati bikra zipo nyingi tu zimejaa mtaani!.

Single mother ni kwaajili ya wanaume waliokomaa na waliojipata. Hili lisemwe.

Lakini kijana hata Kula yako inakusumbua, unadaiwa milioni moja ya ada ya mtoto unalia. Unalia nini sasa?
 
Aisee, naona single mathers wanazidi kukataliwa kila siku...

Kwa kila sababu!

Duh, wadada mjitunze, jamii yetu bado sana kuwakubali single mothers, wajue hayo ni matokeo ya kitanda kutokuzaa haramu.

Wajitunze haswa.

Hawakataliwi maana huku mitaani wanaolewa na wanawanyoosha vilivyo wanaume ambao wanaruka angani pasipo mabawa
 
Na mpaka uweze hivyo ujue wewe ni mwanaume kweli. Kwamba nawe Una options za kutosha hasa options za kiuchumi
Ok Mkuu but haijalishi maana Siku zote there is someone above you kiuchumi au kama si kiuchumi basi kisiasa, au kiumaarufu.

Kama wao ni special kunizidi, na yeye ni special kwa level zao kwanini yupo na mimi?

Si angekuwa mpenzi wa hao wenye hizo nafasi zinazonizidi?

Atii kiapo chake atulie hapo ale ugali tembere kwanza tutafute pesa tukizipata naye aringie mume wake.

Tamaa zitampa lebel ya umalaya na thamani yake kwangu itapotea.
 
Hata mimi ni dada zangu, binti na Mama zangu. Kama wewe huoni tatizo lililopo ni wewe.

Huelewi hata msingi mkuu wa maadili ya Jamii na taifa uko wapi. Sio ajabu unaona ninawaandama.

Kama inakukera, unaweza kuniweka ignore list yako. Ili uendelee kuishi bila shida.
Wewe una tatizo kubwa la kiakili.. una maandishi mengi kuhusu single mama. Hii inaonyesha hujiamini kabisa mbele ya mwanamke ndo maana unajibidiisha uonekane ngangari. Siwezi kukuweka ignore list kwa sababu ni aina mojawapo ya udhaifu.
 
unabisha nini wakati ukweli unasemwa? Sie wenyewe tuonana physically vituko vya singo mazaz kwenye mahusiano na wanaume wanaowazalisha
 
Wewe una tatizo kubwa la kiakili.. una maandishi mengi kuhusu single mama. Hii inaonyesha hujiamini kabisa mbele ya mwanamke ndo maana unajibidiisha uonekane ngangari. Siwezi kukuweka ignore list kwa sababu ni aina mojawapo ya udhaifu.

Huwaga sipingani na muono WA mtu. Yaani vile unavyoniona kwangu sio tatizo.
Endelea kuniona hivyohivyo Mzee.
 
povu la nini wakati huo ndio ukweli? Singo maza ni watata katika mahusiano ya kindoa

Ni haki yake. Anayohaki kuekezea mtazamo wake. Kupinga jambo ambalo haliendani na akili au uelewa au maslahi yake.

Muache atoe povu
 
Back
Top Bottom