Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Wakuu vipi?
Hii kitu inaonekana imekaa kiajabu ila trust me, inasaidia sana. Unapofikia hatua ya kutaka kuoa hasa vijana wa mjini hakikisheni mnawafanyia uchunguzi wa tabia wapenzi wenu.
Mtie mpenzi wako kwenye volunteer program. Hii ni mbinu ya kijasusi ambayo inahusisha kumteka mtoto wa kike na ku-chill naye kwako katika probation period kwa muda flani ili kuzijua tabia zake kwa undani ambapo si rahisi kuzigundua iwapo mtakuwa mnakutana kwa masaa machache. Nzuri zaidi kama mko chuo ama mnafanya kazi ambapo binti pia anakua amepewa uhuru wa kujitegemea kimaisha.
Katika kipindi hiki ndio utajua kwamba je, tabia mbaya za binti huyo na kama zinavumilika ili ukiingia kwenye ndoa ujue kabisa changamoto zake kitabia na uwe umeridhia kupambana nazo. Itaepusha matatizo ya kuja kulalamika kwamba mwanamke mchafu, mara haogi siku 2, hapigi mswaki n.k.
Regards,
Extrovert
Baharia Mwandamizi.