Kabla hujaoa hakikisha unampigisha mwenzi wako Volunteer Program

Kabla hujaoa hakikisha unampigisha mwenzi wako Volunteer Program

Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Posts
70,785
Reaction score
186,690
Wakuu vipi?

Hii kitu inaonekana imekaa kiajabu ila trust me, inasaidia sana. Unapofikia hatua ya kutaka kuoa hasa vijana wa mjini hakikisheni mnawafanyia uchunguzi wa tabia wapenzi wenu.

Mtie mpenzi wako kwenye volunteer program. Hii ni mbinu ya kijasusi ambayo inahusisha kumteka mtoto wa kike na ku-chill naye kwako katika probation period kwa muda flani ili kuzijua tabia zake kwa undani ambapo si rahisi kuzigundua iwapo mtakuwa mnakutana kwa masaa machache. Nzuri zaidi kama mko chuo ama mnafanya kazi ambapo binti pia anakua amepewa uhuru wa kujitegemea kimaisha.

Katika kipindi hiki ndio utajua kwamba je, tabia mbaya za binti huyo na kama zinavumilika ili ukiingia kwenye ndoa ujue kabisa changamoto zake kitabia na uwe umeridhia kupambana nazo. Itaepusha matatizo ya kuja kulalamika kwamba mwanamke mchafu, mara haogi siku 2, hapigi mswaki n.k.

Regards,
Extrovert
Baharia Mwandamizi.
 
Heading kama sijailewa hivi ila fresh, muktadha umeeleweka zaidi.

Wanawake wa sahivi ni kazi kuwachunguza na kupata unachotaka kukipata, cha msingi ni kumuomba Mungu tu akupe m mtu sahihi, mengine ni mitihani tu isiyo na mantiki.
 
Heading kama sijailewa hivi ila fresh, muktadha umeeleweka zaidi,

Wanawake wa sahivi ni kazi kuwachunguza na kupata unachotaka kukipata, cha msingi ni kumuomba Mungu tu akupe m mtu sahihi, mengine ni mitihani tu isiyo na mantiki
Hasa hao wa Dar ndio matatizo matupu! Wengi wanaishi katika fantasy za instagram. Ngumu sana yani ila trust me mwanamke fake ni rahisi sana kumgundua ukimbana ndani kwa kulala na kuamka nae.
 
Weka ufafanuzi wa kutosha, nini maana ya Volunteer Program?

Ja program inatakiwa iwe ya muda gani?

Kuna wale wa fake it until you make it, hawa wanaweza kuvuka hii program salama na wakazingua mbeleni, nini kifanyike kwa hawa?

Volunteer Program:
Hii inamaanisha ni kumshawishi binti ambaye unataka awe mwenza wako akubali kuishi pamoja na wewe wakati mnajipanga kimaisha. Mtengenezee mazingira awe kama mke kabisa ila kimsingi unakuwa bado hujamuoa kwa maana anakuwa anajitolea tu. Mpe treatment kama mke tu for as long as you can with full control. Hii itakusaidia kujua madhaifu yake kama mwanamke ambaye unatarajia kumuoa. Wote mnaweza kuwa mnafanya kazi ama mnasoma pamoja it all works alimradi awe free kuishi na wewe tu.

Kuhusu wale fakers:
90% huwa hawatoboi kwenye hii probation period maana hawanaga uvumilivu wa muda mrefu.
Timeframe nzuri ni kati ya miezi 6 mpaka 1.5 years! Ishi nae na mtaiti kweli kweli kuwa very keen in each of her actions and responses. Lazma mtagombana at times na ndio itakuwa chance ya kujua anakupenda kweli au mzushi.
 
Wanakuwa na tabia safi hao kama kitambaa cheupe wakihisi wanakuja olewa.Mfunge pingu sasa za maisha hapo ndo utajua kumbe Dunia ni tambara bovu
Kumbe eh, ila kwa hii mbinu huwa wengi wanachemkaga. Ipo siku atajichanganya atajibu kunya tu...We una note down madhaifu ukiona zile tabia ngumu sana unajikataa mapema tu. Unaishi nae kiakili tu asijue hata utamuoa lini.
 
Volunteer Program:

Hii inamaanisha ni kumshawishi binti ambaye unataka awe mwenza wako akubali kuishi pamoja na wewe wakati mnajipanga kimaisha. Mtengenezee mazingira awe kama mke kabisa ila kimsingi unakuwa bado hujamuoa kwa maana anakuwa anajitolea tu. Mpe treatment kama mke tu for as long as you can with full control. Hii itakusaidia kujua madhaifu yake kama mwanamke ambaye unatarajia kumuoa. Wote mnaweza kuwa mnafanya kazi ama mnasoma pamoja it all works alimradi awe free kuishi na wewe tu.

Kuhusu wale fakers:
90% huwa hawatoboi kwenye hii probation period maana hawanaga uvumilivu wa muda mrefu.
Timeframe nzuri ni kati ya miezi 6 mpaka 1.5 years! Ishi nae na mtaiti kweli kweli kuwa very keen in each of her actions and responses. Lazma mtagombana at times na ndio itakuwa chance ya kujua anakupenda kweli au mzushi.

Nadhani prospects wameelewa hii.

Swali lingine, katika kipindi hiki ikitokea mkapeana mimba nini hatima yake?

Mfano mtu hajafikia vigezo na amebeba mimba.
 
Sasa kukwazana si kupo mkuu kwa mtindo huo utapiga voluntiya programu wangapi?
Sio lazima umalize muda wote, kuna wengine mapema tu unaona huyu kemchwa kemchwa. 🤣🤣🤣🤣🤣

Unajua siri ya kumjua mwanamke uhalisia wake ni kumfanya awe huru na wewe. Mkizoeana tu atajiachia full hata zile tabia mbaya anakuwa comfortable kuzionesha mapema.
 
Nadhani prospects wameelewa hii.

Swali lingine, katika kipindi hiki ikitokea mkapeana mimba nini hatima yake?

Mfano mtu hajafikia vigezo na amebeba mimba.
Hatima ya mimba ni uzazi ila Vinginevyo utaamua mwenyewe sasa kama unaipenda pepo au huipendi!

Kama huoni kuwa utakuwa responsible father mnakubaliana mufuate taratibu gani kumaliza utata.
 
Back
Top Bottom