ledada
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 16,993
- 65,237
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anachunguzika vizuri sanaaaHahahahah baharia hachunguziki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anachunguzika vizuri sanaaaHahahahah baharia hachunguziki.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anachunguzika vizuri sanaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
kumbe kutooga na kutopiga mswaki nazo ni tabia mbaya..kweli nipo nyuma sana na dunia..!
toka nijitambue sijawahi sikia kuwa uchafu ni sehemu ya tabia mbaya..mtu kuwa uchafu hutokea kwa sababu either kutingwa na shughuli ama kuwa na kipato kidogo hivyo kushindwa kujijari..nimestaajabu!Collectively ni uchafu! Wewe unapendezwa na mtu mchafu? Au unaishi dampo nini mzee?
wewe unataka kuniambia u busy ndio unakufanya usioge?toka nijitambue sijawahi sikia kuwa uchafu ni sehemu ya tabia mbaya..mtu kuwa uchafu hutokea kwa sababu either kutingwa na shughuli ama kuwa na kipato kidogo hivyo kushindwa kujijari..nimestaajabu!
Bora uwe single Kama hujaridhika na tabia ya mtuMbinu nzuri ila ukimchunguza sana bata utakua humli nimefanya hivi kwa pisi karibia 3 kilichobaki ni kua single father
Acha niendelee kukomaa...mpaka nawaza niende chaka nikatafute kamwali kadogo dogo hawa wa mjini ni shidahBora uwe single Kama hujaridhika na tabia ya mtu
Umesema kweli, binadamu tunajua kupritendi balaaHeading kama sijailewa hivi ila fresh, muktadha umeeleweka zaidi,
Wanawake wa sahivi ni kazi kuwachunguza na kupata unachotaka kukipata, cha msingi ni kumuomba Mungu tu akupe m mtu sahihi, mengine ni mitihani tu isiyo na mantiki
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] huyu ni mimi kabisa, ninapenda muziki kuliko kitu chochoteUnashangaa binti unaetaka kumuoa akisikia tu mziki anaanza kukatika katika
Aseeee
HahahaUnashangaa binti unaetaka kumuoa akisikia tu mziki anaanza kukatika katika
Aseeee