Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wako ulimpataje jirani.Heading kama sijailewa hivi ila fresh, muktadha umeeleweka zaidi,
Wanawake wa sahivi ni kazi kuwachunguza na kupata unachotaka kukipata, cha msingi ni kumuomba Mungu tu akupe m mtu sahihi, mengine ni mitihani tu isiyo na mantiki
mara haogi siku 2, hapigi mswaki n.k.
😂😂
Ukiwa unamchunguza na yeye anakuchunguza mnachunguzana.
Dar jiji la moto sana, we angalia tu hata wale walio ndani ya ndoa mambo wanayopitia, waliokuwa wanakaa nje mkoa Dar , wakihamia Dar tu ndoa yao inaingia majaribuni sana, nimeshaona ndoa nyingi sana walikua vizuri lakini wakija kuishi Dar ugomvi kila siku, Dar mji mzito sana vishawishi, makundi ya hovyo hovyo yani mambo ni tafrani, yani watu mpaka kuachana kwa misukosuko,Hasa hao wa Dar ndio matatizo matupu! Wengi wanaishi katika fantasy za instagram. Ngumu sana yani ila trust me mwanamke fake ni rahisi sana kumgundua ukimbana ndani kwa kulala na kuamka nae.
Dar jiji la moto sana, we angalia tu hata wale walio ndani ya ndoa mambo wanayopitia, waliokuwa wanakaa nje mkoa Dar , wakihamia Dar tu ndoa yao inaingia majaribuni sana, nimeshaona ndoa nyingi sana walikua vizuri lakini wakija kuishi Dar ugomvi kila siku, Dar mji mzito sana vishawishi, makundi ya hovyo hovyo yani mambo ni tafrani, yani watu mpaka kuachana kwa misukosuko,
Eti jamani [emoji16]....mimi pia sijawahi kusikiatoka nijitambue sijawahi sikia kuwa uchafu ni sehemu ya tabia mbaya..mtu kuwa uchafu hutokea kwa sababu either kutingwa na shughuli ama kuwa na kipato kidogo hivyo kushindwa kujijari..nimestaajabu!
Naunga mkono hoja
Kingine wakati wa hyo program asiambiwe hali halisi, muishi tu ila kichwani kwako ndo uwe unajua nini unafanya.
Nina hakika huu mkakati unafanya kazi
Probation perion huwa mwaka mmoja au miezi 8 kama utendaji wake mzuriWeka ufafanuzi wa kutosha, nini maana ya Volunteer Program?
Je, program inatakiwa iwe ya muda gani?
Kuna wale wa fake it until you make it, hawa wanaweza kuvuka hii program salama na wakazingua mbeleni, nini kifanyike kwa hawa?
Si ndiyo kama uchebe mzee [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38], ogopa sana umetoka na demu kijijini ukamleta mjini ahhhh basiiii kakijanjaruka tu sio wako tenaHahahah kuna kasichana kalikuwa kafanyakazi kangu katoto kabichi sana black beauty. Nikakapa line ya kazi Dar hapo Kisemvule. Kalikuwa na msimamo sana ila baada ya kukutana na wale Wakulungwa madingi matajiri wa town pesa inamwagika mixa wanapaki ma VX V8. Huwezi amini kalibadili gia angani ghafla kakamsahahu chalii yake aliomuacha mkoa. Now kamepangishiwa mjengo na simu kali ya kutumia. Kalikuwaga hakana smartphone bila kusahau mipunga ya hapa na pale shopping hizi na nini.
Huku mkoa kalikuwa na jamaa yake ni DJ wa pub usiku mchana anapiga bajaji. Walikuwa wanaishi getho moja full mahaba kila mara jamaa analetaga chipsi misosi misosi demu akiwa kazini. Jioni jamaa anampitia wanaondoka wote wanarudi zao walipopanga. Demu akamvutia jamaa kazi ya u DJ kufika kule dogo akakuta mazingira tofauti. Kuja kusanuka dah mzigo umeshaibiwa na Tajiri.
Ikabidi itokee varangati, dogo Dar ikawa chungu akarudi zake mkoa. Alimanusura amtie kisu yule msichana wake.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kimsingi Dar hapafai hasa kama unamiliki manzi halafu hela huna. Pia ile tabia ya Mazee kumwaga noti ili kupora vibinti vidogo....Ushauri ni kununua Painkiller in Advance ili ukija kupigwa kazi usiumie zaidi.
Hivi kumjambia mpenzi wako ni tabja mbaya eti!??Mkizoeana tu atajiachia full hata zile tabia mbaya anakuwa comfortable kuzionesha mapema.
Wale wanaozificha ukishawaweka ndani wanakunjua makucha tutafanyaje naoKuwa na mahusiano na mtu ni kama kuwa mpelelezi tu
ukishajua tabia zake unaamua kumuacha
au kuzivumilia au kuzikubali
Jamba ila tukiwa wawili tu, sio unajamba hata mbele za watoto au wadogo zakoHivi kumjambia mpenzi wako ni tabja mbaya eti!??