Kabla hujaoa nakushauri nunua kamera

Kabla hujaoa nakushauri nunua kamera

Background Check

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2019
Posts
341
Reaction score
498
Nashauri tu broo kabla ya kuchumbia nunua kamera. Utakuja kunishukuru.

Siku hizi, unapiga picha siku ya engagement, then kuna za kabla ya sendoff na kabla ya harusi, kuna za akishika mimba na mimba ikifika miezi tisa, kuna za baada ya kujifungua na usisahau kuna za birthdays na wedding anniversaries, kaka make sure unanua kamera.

Ni ushauri tu.

#MJUZI
 
Nashauri tu broo kabla ya kuchumbia nunua kamera. Utakuja kunishukuru.
Siku hizi, unapiga picha siku ya engagement, then kuna za kabla ya sendoff na kabla ya harusi, kuna za akishika mimba na mimba ikifika miezi tisa, kuna za baada ya kujifungua na usisahau kuna za birthdays na wedding anniversaries, kaka make sure unanua kamera. Ni ushauri tu.

#MJUZI

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na ahakikishe ana install adobe kwenye PC kwa ajili ya kuedit picha
 
Nashauri tu broo kabla ya kuchumbia nunua kamera. Utakuja kunishukuru.

Siku hizi, unapiga picha siku ya engagement, then kuna za kabla ya sendoff na kabla ya harusi, kuna za akishika mimba na mimba ikifika miezi tisa, kuna za baada ya kujifungua na usisahau kuna za birthdays na wedding anniversaries, kaka make sure unanua kamera.

Ni ushauri tu.

#MJUZI
Una umri gani?
 
Ili asigongwe na vijana wadogo ..masharobaro ..
Teh teh teh teh...
Kama wakugongwa wakugongwa tuuh.. ..
Malaya Ni Malaya Tuu.
Ova n out.
 
Itoshe tu kusema basi hata mwanafunzi wa darasa la tatu anakua na camera ili wakienda study tour apige picha za kumbukumbu
 
Mwaka huu moja kati ya malengo yangu ni kununua camera 2 baada ya kuona huu uzi nimecheka sana wakuu yani kama kaniona hivi
 
Back
Top Bottom