Background Check
JF-Expert Member
- Jun 28, 2019
- 341
- 498
Nashauri tu broo kabla ya kuchumbia nunua kamera. Utakuja kunishukuru.
Siku hizi, unapiga picha siku ya engagement, then kuna za kabla ya sendoff na kabla ya harusi, kuna za akishika mimba na mimba ikifika miezi tisa, kuna za baada ya kujifungua na usisahau kuna za birthdays na wedding anniversaries, kaka make sure unanua kamera. Ni ushauri tu.
#MJUZI
Simu haitoshi lazima picha niwe Kali resolution na pixel za kutosha kuumiza roho watuSimu si inatosha?
Haswaaaa, tena ile latest version ya Adobe Photoshop[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na ahakikishe ana install adobe kwenye PC kwa ajili ya kuedit picha
Wanawake wewe inaonekana huwajui has a hivi vibinti vilivyozaliwa miaka ya hivi karibuni...Kwaio bila picha saiv maisha hayaendi,,,nani alowakengeuwa nyie waswahili,,[emoji58][emoji58][emoji58]
Haswaaaa, tena ile latest version ya Adobe Photoshop
Una umri gani?Nashauri tu broo kabla ya kuchumbia nunua kamera. Utakuja kunishukuru.
Siku hizi, unapiga picha siku ya engagement, then kuna za kabla ya sendoff na kabla ya harusi, kuna za akishika mimba na mimba ikifika miezi tisa, kuna za baada ya kujifungua na usisahau kuna za birthdays na wedding anniversaries, kaka make sure unanua kamera.
Ni ushauri tu.
#MJUZI