Dada wa diaspora alikuja mwaka juzi hapa Tanzania akampenda binti kisha kamuunganisha na kakake aliyeko nje ya nchi. Mambo yote ya kimahusiano yakaazia na kukamilikia kwenye simu.
Mwaka jana mwezi wa 9, mkaka kaja na kufunga ndoa na binti. Wakaenda kula tunda la katikati kwa mara ya kwanza baada ya ndoa. Kumbe dada kazoea kupitiwa na makatapila, matreni na masemi-trela lkn m-diasspora huyu anampitia na Kibajaji.
Kiukweli dada hakukielewa kibajaji, kikawa kinamnyima usingizi na kushindwa kumfikisha kwenye safari ya maraha.
Leo hii dada ametua rasmi nchini toka majuu akitamka bayana kuwa amebwaga manyanga.
Onyo:
Kabla hujaoa test mitambo kwanza kuiepuka aibu hii