Kabla hujatongoza dai kitambulisho, Kenya wameonyesha njia

Kabla hujatongoza dai kitambulisho, Kenya wameonyesha njia

Lububi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2013
Posts
2,158
Reaction score
3,808
Jirani yako akibuni njia nzuri si mbaya kuiga ilimradi ufikie malengo yako.

Tunakubaliana watoto weng wa kike chini ya 18 wamenona, wanajipamba na wao wanatia watu majaribun kwa tamaa na haraka zao na hatimaye weng wanakutana na mkono wa sheria, kwa aibu na fedheha!

Mbaya zaid tuna mabinti ambao nao wamezaa wameshaharibikiwa kias kwamba wanajiharibia uzao wao. yana mama anamruhusu binti yake kukaa kaa kimitego mitego. Bila kusahau vyakula vinavyowapa miili binti zetu.

Sasa wito wa kuuliza kitambulisho cha binti kabla hujamtongoza umetolewa nchin Kenya. ni muhim sana na hivi wako kitaa kwa likizo. tulipofikia serkali inahitaji sana ulinzi dhidi ya vipepeo wake.

Sijajua inapambana vipi na suala la wavulana wanaobemendwa na mijimama (vibenten)! wote ni wanetu. niwasihi wazazi na walezi kuwakagua bint zao namna wanatoka ndani.

Jamii pia isishabikie mavazi yanayowadhuru wavaaj bila kujua. kamat ya maadili ya kila kitongoj na mtaa iwe kama mzaz au mlez. asanten kwa busara zenu kutoninanga!
 
UNAWAJUA WABONGO WEWE? KUFOJI NI DAKIKA SIFURI TU, NA KUONESHA KITAMBULISHO SIO GUARANTEE YA KUWA MWEMA, MDOGO/MKUBWA
 
Binadam wanavopenda mambo hatarishi unadhani watakuelewa kwa hili? hata huko walikoweka utaratibu huo mabinti under 18 wataendelea kulika kama kawaida.
 
Yani Africa tumefika mahali tunatumia vitambulisho kwa sababu ya kujuana umri ili tusitongozane? nimatumizi mabaya sana ya resources..
 
Ungeuliza watanzania wangap Wana vitambulisho ndo ungekuja kuandika uzi....
 
Back
Top Bottom