Kabla hujawa na matarajio makubwa, ni vizuri ukajiridhisha hali halisi ya uchumi wa nchi unayotaka kuzamia

TensorFlow

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2020
Posts
993
Reaction score
1,286
Kabla ya kuzamia "dream country" yako America, Asia au Ulaya jiridhishe kwanza na mwenendo wa nchi husika kiuchumi kwa kuangalia kiashiria kimojawapo ambacho ni GDP per capita kwa miaka ya 2019 na 2020 kwa mjibu wa data za Benki ya Dunia. Baadhi ya nchi data zake hakuna.

NB: Ndio utaelewa kwa nini huwa tunaiazima Burundi ndege kumbeba Rais wao.













 
hili bara kweli ni giza, kwa Afrika hakuna nchi ilitakiwa kuwa hapo ilipo...... ni ujinga wa viomgozi wetu
 
Equatorial Guinea ipo vizuri. GDP per capita ni zaidi ya US$ 7000.
 
Nina mashaka kuna watu wakienda world cup Qatar watazamia huko..hawatarudi..kumbe wako vizuri kimtindo..
 
Nina mashaka kuna watu wakienda world cup Qatar watazamia huko..hawatarudi..kumbe wako vizuri kimtindo..
Kuna ranking nyingine -- source nyingine ya data, Qatar ilikuwa ya kwanza 2019.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…