Kabla na baada ya ndoa

Bro historia yako ni ngumu kinoma, lakini pia mpk hapo ulipo inaonekana una moyo wa jiwe maana ungekuwa ushachizika kitambo. Hili la kujua watoto uliodhani wako kumbe si wako halipokeleki kirahisi

Ushauri wako ni mzuri na unajenga kutokana na uzoefu uliopitia. Hii inaonesha wanawake ni vita kubwa sana tunayopigana wanaume...

Hata huyu wangu sikudhani kama itakuwa ni vita ninayopigana nayo wkt huu. Ndoto zangu nyingi zimezima, sikutarajia haya...

Asante kwa kushare story yako nasi. Inaelimisha sana but hopefully umeshapunguza pombe
 
Nishapunguza ,naenda Mara moja Sana hasa nikiwa nimepata hela ya ghafla ,now nakunywa ulanzi wa mia tano ,naridhika narudi kwangu kupumzisha kichwa
 
Umeongea vzr sana, na ndiyo maana kwa sasa nataka nianze harakati zangu mwenyewe kulingana na points nyingi nilizookota humu ndani
 
Nishapunguza ,naenda Mara moja Sana hasa nikiwa nimepata hela ya ghafla ,now nakunywa ulanzi wa mia tano ,naridhika narudi kwangu kupumzisha kichwa
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Umenikumbusha ulanzi... Bro tupambane tu thawabu yetu tutaikuta mbeleni ila kuishi na hawa viumbe akili zinaanza kuchoka sana
 
Hapo penye gharama za kuvunja hii ndoa ndipo panaponiumiza kichwa sana na kuendelea kuishi huku moyoni nateketea napo pananipa ugumu ndiyo maana nikaja JF unless niamue kusepa kimyakimya nikaanze upya ugenini... Point ya kuanzia sasa
Ukiamua utaipata
 
mle tuzu
 
Leo vigelegele, kesho kelele.
Hisia zake zimerudi kwa mume mwenzio.

Hivi huu ujasiri wa kuoa wake za wenzenu mnautoa wapi?
 
Samahani Kiongozi, uchumba ulikaaa naye kwa muda gani?
Uchumba nilikaa nae almost less than a year kabla cjafanya maamuzi magumu ya kurasimisha mahusiano yetu... Ule uchumba naumiss sana mkuu, ulikuwa mtamu kweli yaani... Yaani sometimes ili ni enjoy sex lazima niukumbe ule wkt na kujipa imani utarudi tu
 
Leo vigelegele, kesho kelele.
Hisia zake zimerudi kwa mume mwenzio.

Hivi huu ujasiri wa kuoa wake za wenzenu mnautoa wapi?
Basi bwana hata nikijitetea sana wkt nishayakanyaga inakuwa haina maana... Kikubwa nianze harakati zangu kama wadau wengi walivyoshauri
 
Chukua likizo ukakae sehemu utulize kichwa kwanza maana atakua kwa mawazo huyo bibie,na akishika simu yako alafu ukute huu ushauri unaopewa hapa jamvini ujue umekwisha umekwisha..kwa mwanamke mwelevu atabadilika upesi sana kuwa faraja ya mume wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…