Kabla na baada ya ndoa

Kabla na baada ya ndoa

Jitahidi Kaka ,natamani nikusimulie mengi ila haitosaidia ,pambana uchomoke ,mwenzio nilichelewa kufanya hayo ,Sasa nipo nilichobakiza ni ajira tu ila watoto nilishaambiwa si wangu na Sasa wao wamenikana Mimi si baba yao .

Nishakaa jela sikumuona mwanangu Wala huyo mwanamke bad enough natoka Mali zikapigwa mgao ,kikubwa akapewa yeye kidogo ,nikapewa Mimi .

Haikuwa rahisi kukubali ila ujasiri na kukubali kuanza upya Sasa ninaishi Kaka ,ajira naendelea ,maisha na kidogo nilichoachiwa nakizingatia ili kesho isiwe ngumu kwangu .

Ila sio kwamba siamini kwenye mahusiano ,hapana bado naaamini wapo wadada wanajua nini maana ya ndoa na mahusiano hivyo bado najua ipo siku nitampata wa kuendana naye ,though sio Sasa maana nitakuwa muongo kusema simpendi tena mama watoto .

Bado nampenda yule dada na ninaamini alipitiwa ,Kuna muda narudisha muda nyuma na kuamini ipo siku atarudi japo ameshaolewa tena ila kwenye uhalisia ni ngumu .

Nilijaribu kuomba suluhu japo anisamehe anipe hata mtoto mmoja ila haikuwezekana zaidi ya kutishiwa kupelekwa polisi au kushitakiwa ofisini kwangu nikawa mpole .

Bro unapitia magumu ila bado hayajawa kiasi Cha kukupa stress hivyo yasolve mapema kabla hayajawa Kama yangu ,inauma ,uanaume ni kazi ,ni mateso ni tabu ila tumeumbwa kuvumilia wacha tuvumilie na maisha yawndelee.

Stay strong ,anza Sasa kujipanga ,usimdhuru Wala kuwaza kumdhuru utaiharibu kesho yako
Bro historia yako ni ngumu kinoma, lakini pia mpk hapo ulipo inaonekana una moyo wa jiwe maana ungekuwa ushachizika kitambo. Hili la kujua watoto uliodhani wako kumbe si wako halipokeleki kirahisi

Ushauri wako ni mzuri na unajenga kutokana na uzoefu uliopitia. Hii inaonesha wanawake ni vita kubwa sana tunayopigana wanaume...

Hata huyu wangu sikudhani kama itakuwa ni vita ninayopigana nayo wkt huu. Ndoto zangu nyingi zimezima, sikutarajia haya...

Asante kwa kushare story yako nasi. Inaelimisha sana but hopefully umeshapunguza pombe
 
Bro historia yako ni ngumu kinoma, lakini pia mpk hapo ulipo inaonekana una moyo wa jiwe maana ungekuwa ushachizika kitambo. Hili la kujua watoto uliodhani wako kumbe si wako halipokeleki kirahisi

Ushauri wako ni mzuri na unajenga kutokana na uzoefu uliopitia. Hii inaonesha wanawake ni vita kubwa sana tunayopigana wanaume...

Hata huyu wangu sikudhani kama itakuwa ni vita ninayopigana nayo wkt huu. Ndoto zangu nyingi zimezima, sikutarajia haya...

Asante kwa kushare story yako nasi. Inaelimisha sana but hopefully umeshapunguza pombe
Nishapunguza ,naenda Mara moja Sana hasa nikiwa nimepata hela ya ghafla ,now nakunywa ulanzi wa mia tano ,naridhika narudi kwangu kupumzisha kichwa
 
Ngoja nikufahamishe kitu!

Si mwanamke tu bali mtu yeyote aliwa mjuaji hutowezana naye! Wajuaji wana sifa zifuatazo:

1)Hawana tabia ya kumsikiliza mtu
Anaweza kukusikia ila hakusikilizi! Na hakusikilizi kwa sababu anajiona anajua hivyo wewe unakosea na yeye anapatia.

2)Yeye ndiye anataka awe mwenye kauli ya mwisho:
Mjuaji yeyote anataka yeye kauli yake iwe ya mwisho! Kwa sababu anajiona yeye anajua na wewe hujui. Kwa namna hiyo, iwe isiwe ni lazima kwake kauli yake iwe ya mwisho kwa sababu anaona mawazo yake ndiyo yanajenga na yako yanabomoa.

3)Ukitĥubutu kumsahihisha hakubali makosa yake!
Mjuaji yeyote ukithubutu kumsahihisha hatokubali hata kidogo bali lawama atakuangushia wewe kwa kukuona wewe hufikirii sawa sawa hivyo wewe siyo muelewa.

Hizi sifa akiwa nazo mwanamke, kwenye mahusiano huyo mwanamke ataonekana!
1)Hamsikilizi mwanaume wake
2)Hakuheshimu
3)Jeuri
4)Kiburi
5)Anataka kumpanda mwanaume wake kichwani

Kama ni mwanaume tutaishia kusema huyu jamaa ni mbishi sana yaani hataki kushindwa!

Kwenye suala lako,
My friend, kama mwanamke wako ni mjuaji ili uishi naye vizuri uwe inakubidi kumwachia majukumu ya kiume kwenye familia ayabebe yeye! Kwa kifupi yeye awe juu na wewe uwe chini!

Kama hauwezi achana naye! Mnaweza mkadhuriana ndani humo ipo siku!

Maamuzi ni yako!
Umeongea vzr sana, na ndiyo maana kwa sasa nataka nianze harakati zangu mwenyewe kulingana na points nyingi nilizookota humu ndani
 
Nishapunguza ,naenda Mara moja Sana hasa nikiwa nimepata hela ya ghafla ,now nakunywa ulanzi wa mia tano ,naridhika narudi kwangu kupumzisha kichwa
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Umenikumbusha ulanzi... Bro tupambane tu thawabu yetu tutaikuta mbeleni ila kuishi na hawa viumbe akili zinaanza kuchoka sana
 
Hapo penye gharama za kuvunja hii ndoa ndipo panaponiumiza kichwa sana na kuendelea kuishi huku moyoni nateketea napo pananipa ugumu ndiyo maana nikaja JF unless niamue kusepa kimyakimya nikaanze upya ugenini... Point ya kuanzia sasa
Ukiamua utaipata
 
Nipo kwenye ndoa huu mwaka wa sita na nilioa single mother ila kwa yanayoendelea najikuta nipo kwenye wakati mgumu sana wa kimaamuzi juu ya mustakabari wa ndoa yangu

KABLA YA NDOA
Mwanamke alikuwa ananielewa sana, ananisikiliza, ananiheshimu, ni mwepesi kusema samahani

Mwepesi sana kutoka nae out na ni kama alikuwa anaenjoy kiasi flani

Kitandani hakuwa haba, kujituma kama kote mpaka nakuwa nammiss kila nikiwa mbali nae, tulikuwa na uwezo kugegedana popote pale tunapojihisi tupo peke etu, iwe ofisini, garini, dkn, jikoni, sebuleni fainali chumbani ndiyo balaa zito

Nazimiss sana nyakati zile

BAADA YA NDOA
Mwanzo haukuwa mbaya sana wala mzuri sana ila ni vile unajipa moyo kwamba yanapita tu

Kusema samahani ni mpaka tuwe tunakaribia kuachana

Nikimuomba tutoke out haoneshi kufurahia tena kama zamani lakini pia hata akikubali mpo maeneo lakini akili yake ipo nyumbani, ni kama anatoka kuniridhisha mimi na haachi kulalamika kwamba pesa inaharibika, wakati mara nyingi anasisitiza tutume hela kwa ndugu zake na tunatuma na huwa halalamiki kwamba tunaharibu pesa

Penzi ni kama nimesusiwa(D2) nikimuuliza mbona hunyumbuliki au kujituma kama enzi zile anasema hana mazoezi. Na mimi nikimpotezea anaanza kulalamika eti sina hisia nae. Kiufupi anataka mie nifanye kila kitu(inaboa). Kiukweli kuna muda nakuwa na hamu sana ila kumfikia ndiyo nashindwa mpk natamani kujichukulia sheria mkononi

Nimeshaongea nae sana kuhusu tofauti zetu ila hakuna linalobadilika moja kwa moja. Kwa sasa namezea japo naumia ndani kwa ndani

Kitu kingine nimekuja kujua kwamba ni mkali sana hasa kwa watoto kiasi mpaka najisikia vibaya. Kwake yeye hakuna mtu anayejua zaidi yake.

Najikuta mpweke zaidi kuliko nilivyokuwa mpweke kabla sijaoa. Na kabla sijaoa vita yangu kubwa ilikuwa kujiweka vizuri kiuchumi ila baada ya ndoa nahisi nimejiongezea vita nyingine tena kubwa kuliko ile niliyokuwa napigana nayo kwa kipindi kirefu

Nikisema bado nampenda nitakuwa ninaudanganya moyo wangu unless naendelea tu kuishi nae kwa sababu ya watoto na heshima niliyojijengea kwa jamii ila nawaza mpaka lini nitaishi maisha haya

Taasisi ya ndoa ni ya wachache sisi wengine tumedandia tu na ndiyo zinatutafuna. NACHOMOKAJE HAPA? View attachment 3156830
mle tuzu
 
Leo vigelegele, kesho kelele.
Hisia zake zimerudi kwa mume mwenzio.

Hivi huu ujasiri wa kuoa wake za wenzenu mnautoa wapi?
 
Samahani Kiongozi, uchumba ulikaaa naye kwa muda gani?
Uchumba nilikaa nae almost less than a year kabla cjafanya maamuzi magumu ya kurasimisha mahusiano yetu... Ule uchumba naumiss sana mkuu, ulikuwa mtamu kweli yaani... Yaani sometimes ili ni enjoy sex lazima niukumbe ule wkt na kujipa imani utarudi tu
 
Leo vigelegele, kesho kelele.
Hisia zake zimerudi kwa mume mwenzio.

Hivi huu ujasiri wa kuoa wake za wenzenu mnautoa wapi?
Basi bwana hata nikijitetea sana wkt nishayakanyaga inakuwa haina maana... Kikubwa nianze harakati zangu kama wadau wengi walivyoshauri
 
Chukua likizo ukakae sehemu utulize kichwa kwanza maana atakua kwa mawazo huyo bibie,na akishika simu yako alafu ukute huu ushauri unaopewa hapa jamvini ujue umekwisha umekwisha..kwa mwanamke mwelevu atabadilika upesi sana kuwa faraja ya mume wake
 
Back
Top Bottom