Kabla na baada ya ndoa

Sava bien, merci buku.

Umepiga kwenye mfupa.
 
Ujumbe umepenya mkuu sikupingi... Hata sijajisikia vibaya zaidi nimeona nastahili fedheha kwa kuvumilia upuuuzi kwa muda mrefu ili kufurahisha watu na watoto
Wanaume wengi wanakufa nsababu ya stress na depression kwajitakia.Hivi watoto ambao mama yao aliwabeba tumboni miezi tisa tisa haoni uchungu na kupitia uchungu huo afanye maamuzi ya busara ya kutulia na kulea familia ila ndio kwanza anawabwaga na kuwatelekeza ww huogopi kuwa kuna namna???!!!

Swala la kuendelea kuteseka kisa watoto huo ni uzwazwa mwanaume kazi yetu ni moja tu KUGAWA MBEGU na ndio maana "mwanaume hazeeki",,,umagaribi ndo huu umeleta mambo ya hovyo kiasi kwamba wanaume wamekuzwa na kupandikizwa mbegu za kuwafanya wawesoftsoft ili kuharibu taasisi ya ndoa na mwshowe jamii kuvurugika.

Kama mwanamke hakusikilizi ujue hata hao watoto aliowazaa hawatakusikiliza na kulingana na NATURE nyoka ni nyoka!!! wakiwa wakubwa wataungana na mama yao na watakufanya kitu mbaya ukae ukijutia maisha yako yote.

Wanaume jifunzeni kujiweka sisi mbele hii dunia haina huruma na wanaume.Jiweke kipaumbele and be selfish to the maximum for ur safety.

Ukicheza haya maisha utakuwa mfano kuwa ww ni SIMP na ubaya ni kwamba utatumika kama daraja na mwisho utakufa na kusahaulika haraka sana.

Kama umeacha mke mwache na mitoto yake. Asiyesikia aendelee kusubir time ya kupigwa tukio aje hapa tumpe pole!!!!
 
Mwenyewe napitia hayo mkuu. Wa nje wanaona tupo fresh, kumbe ndani full kuviziana kama unavosema. Kwa upande wangu mie nadhani ndio nimekuwa gundi ya ndoa, siku nikichoka itadondoka kama jengo lililopigwa bomu
Na kama nitakuwa sahihi ni kwamba asilimia kubwa ya sisi wanaume huwa ni gundi isiyoonekana kirahisi mpk kufanya ndoa inaendelea. Ni vile tu jamii imeamua kumtazama mwanamke zaidi ila pole yetu sote tunaopitia changamoto kama hizo na kuendelea kupambana. Wewe unasema ukishachoka, safi, ila mie nishachoka ndiyo maana nimelileta jukwaani na sasa nimeanza kuchukua hatua
 
Duh we mwamba ni balaa, hukopeshi aisee

Unapiga spana hatari... Nimekukubali... Nadhani kwenye kikao cha wanaume wewe utakuwa mwenyekiti sio bure[emoji23][emoji23][emoji23]

Pamoja sana familia
 
Liverpool VPN tunaomba uresign hiyo nafaSi mwamba huyu hapa anatosha kua Rais mpya wa kataa ndoa, wala hamung'unyi maneno.
 
Mkuu, usisahau kuna single mothers wengine wanajitambua.

Huwezi kuwahukumu single mothers wote kwa makosa ya baadhi ya single mothers.
Don't ever repeat the same mistake, unachoptia nmepta uzur ckuzaa nae , na nimepga chin this week, single mother wako very manipulated be aware, pia wako demage na past , at least kam alizaa akiw shule/ hakuw kuish na mwanaume
 
Don't ever repeat the same mistake, unachoptia nmepta uzur ckuzaa nae , na nimepga chin this week, single mother wako very manipulated be aware, pia wako demage na past , at least kam alizaa akiw shule/ hakuw kuish na mwanaume
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]
 
All single mother kipnd ndoa zao zmefeli huingia mtaani kikaz kwahyo huw ruz na hukutan na kila aina ya mwanaume huw wanafanya mapenz na yoyote kiurahis at least kujarbu kupat lilifu na ndio maan utakuta kwa mwanzano huwez kuulza kuomba ngono atakup utachapat san unawez kuzan ametoshek kumbe bado na unapew style za na K zao n tamuu san na wanajua jins ya kuchez na akil zetu , ata 1000 ukimpa utackia aksnte Baba,

I'm sorry guys
 
Unajua kwenye haya maisha ni lazima uchague watu wa kukushauri, hususani watu wazima ambao unaona hawa wanafaa hivyo watakutunzia siri yako na watakushauri vyema. Wawe kama watatu hivi!

Hali yoyote au changamoto yoyote utakayopitia na mchumba wako iwasilishe kwao na uwaelezee pasipo kuficha kitu!

Kuna mambo utayafahamu kupitia kwao mapema sana! Watakuambia kabisa huyu mwanamke ana utoto mwingi atakusumbua! Huyu hakufai n.k

Muhimu ukubali kushauriwa! Ukijifanya mjuzi na kwenda mwenyewe utaangukia pua na mwishowe maumivu.
 
Sahihi mkuu, Mentor ni muhimu sana kwenye kila nyanja Kiuchumi, Kiafya, kimahusiano ....
 
Pole sana kwa yaliyokukuta!Kimsingi ndoa nyingi kwa sasa ni changamoto!Napenda sana nikupongeze kwani ni wanaume wachache sana wanaosema hasa wanapoona tatizo!Kwa ufupi wa maisha yetu wanaume,NI HERI UKOSEE KUCHAGUA NGUO YA KUVAA,KULIKO KUKOSEA KUOA!!Kabla sijakushauri nini cha kufanya ningependa nijue kutoka kwako,1)Usalama wako ukoje hapo nyumbani?Kihisia ukoje,kumwelekea?Unavyomuona mwenzako,je kuna dalili zozote kuwa anaweza kubadili tabia zake?Huyo mwanamke ulimtoa kwenye mazingira gani?Alilelewa na baba na mama?Kama alilelewa na mama hadi anakuja kwako,mama mkwe wako ana tabia gani kumwelekea baba mkwe wako?
 
Sasa hapo usingle maza umeongiaje,hayo kwenye ndoa ni kawaida,ndoa nyingi zilishajifia watu wamebaki kulea tu watoto
Na kitu kingine cha kuelewa uchumba ni tofauti na ndoa,huwezi ukawa mama majukumu ya nyumbani yanakusubiri alafu eti unaanza kuzunguka viwanja na kufanya mapenzi sebuleni
 
Don't ever repeat the same mistake, unachoptia nmepta uzur ckuzaa nae , na nimepga chin this week, single mother wako very manipulated be aware, pia wako demage na past , at least kam alizaa akiw shule/ hakuw kuish na mwanaume
Alipata mimba akiwa chuon na jamaa akamkimbia. Mtoto ana miaka 9.
 
Pole sana, msaidie hapo kwenye hasira kwani yawezekana ni kitu ambacho hata yeye hakipendi na namna ya kumsaidia ni kwa vitendo aone na kujifunza kwako.. kuhusu kumbadilisha awe mke unayempenda wewe nenda naye taratibu, usimchoke itafika wakati atakuelewa tu pia ungejua yeye anachohitaji haswa ni nini.

Kila la heri.
 
Ona fala hili 🤣🤣🤣

Cc Extrovert
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…