Kabla na baada ya ndoa

Kwanza pole mkuu

Nataka nikwambie vitu vitatu
1.mwanadamu Kila anapoamka mwili wake mzima kwa ujumla unakuwa na mabadaliko physically mpaka akili
"usiishi kwa kukariri nenda na frequency" huenda kabla hamjaoana hamkuwa na watoto, mlikuwa hamsomeshi, (soma alama za nyakati ujue mahitaji yenu ni yapi kwa wakati huu topics zenu ni zipi unaotakiwa kuzisolve Kila siku Maana wahenga wanasema "unapewa cheti ndo unaingia kwenye ndoa kuanza kusoma) marriage is not a birthday party

Wanawake wakishaolewa Ata kama under 30 huwa vitabia vya u-mama zinakuja automatically kuna vitu vinakuwa sio priority kwao. Mfano outing Ata kudombana pia sometimes style zinapungua, Sijui kuitana baby, mara honey zinaishaga tu zenyewe Sio kama wale ambao hawajaolewa

2.ushauri wa pili mpandishe cheo(tafuta mwanamke wa pembeni) Ila kuwa makini Ngono zembe itakuponza. Cheza Namba Sita vizuri(hisia zako zikilalia kwa mwanamke mmoja lazima uumie broo)


3. ushauri wa kipumbavu🤣usifanye Chaputa. Jaribu kutumia asali mbichi.

Ila mwisho, kuna walakini story yako haijabalance angekuwepo na muhusika akatoa malalamiko yake tungejua namna ya kutoa solution nzuri. Kuachana sio solution ya moja kwa moja.
 
Asante kwa ushauri kaka

Ni kweli nimejaribu mara nyingi kumbadilisha ili awe yule ninayemtaka. Mwanzoni alikuwa anaelewa na anajitahidi kubadilika ila kadiri miaka inavyosogea mambo yanazidi kuwa mabaya... Sijui ndiyo kanizoea sana

Ila labda nianze tena kumbadilisha kama zamani maana nilishamkatia tamaa
 
Mkuu Asante kwa ushauri wako

Lakini pia upo sahihi kwamba labda angekuwepo ungepata A B C zake pia ila nakuhakikishia hata baada ya kumsikiliza ungebaki na haya ninayokusimulia

Lakini pia bado sijafikia hatua ya kutaka kuachana nae moja kwa moja ila tu nipo njia panda na Asante umenipa pa kuanzia

Nilishawahi fikiri labda niwe na sidechick nikapuuzia kwa kuona kama huyu tu ananipasua kichwa nikiongeza na mwingine je, ila kwa ushauri wako itabidi nijaribu

Nyumba yangu mwenyewe ila kurudi nipumzike hamu inakata. Muda wa kulala hata hamu ya kupanda nilale imepungua sana...
 
Akili mnemba
 
Tafadhali usije mpa tu mimba huyo wa pembeni.
Kama hapo kwenye kiburi na ujuaji ndio usiseme kabisa...
Kwamba n mjuaji sana
 
Yatapita vumilia,hakuna kuachana wazo bayasana kuliko.lolote kuachana kika ndoa ina mapito yake hata hilo litapita kikubwa sala na maombi,usikose ibada jumapili.
 
That's mkuu nishapata majibu Maana kwa maelezo yako nimeona mwanamama anapigo za kiutu uzima kidogo Kitendo cha kusema mnaharibu hela kwenda out

Kazi unayo mzee wanawake wanawahi kuwa matured sana kuliko sisi
Dah basi bwana ila umenishauri mambo mema nimekuelewa sana kaka
 
Ndoa ni mfumo wa maisha ambao ushapitwa na wakati, unatakiwa kupitiwa upya na kufanyiwa malekebisho ya kijamii na kisheria.

Waliotuletea haya mambo waliona madhaifu yake ndio maana wakaja na ndoa ya mkataba, prenup n.k sisi bado tumekomaa na ule ule mfumo wa ndoa ya zamani
 
Sio single mother tu wanawake ndio walivyo kabla ya ndoa wanajituma ila ukishaingia mkenge ukaoa na akawa na uhakika wa namba huna rangi utaacha kuiona

Mpandishe cheo mkuu utaona milango itakavyo funguka hutaamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…