Kabla na baada ya ndoa

Dah nisamehe mkuu kama umekwazika kwa mimi kuomba ushauri wa kukabiliana na hili... Njia ni yetu sote, laiti kila mtu angelijua kikwazo kilichopo mbele yake basi angeahirisha kuendelea na safari. Ndiyo mimi huyo. Wadau wamekuja na hoja za kujenga nawashukuru
 
Wacha kulea hiyo KE fukuza mara moja.

Huwezi kumshauri mtu zima aliyeamua kutokubadilika. Huyo ni kufukuza mara moja, Haraka iwezekanavyo.

Mpangiane namna gani mtalea watoto, Kisha kila mtu ashike hamsini zake.
 
Una utoto mwingi sana
 
Ujasiri wa kumuoa single mother mnaupata wapi? 99.9% ya hao watu wamejawa na gubu muda wote ndio maana usimuoe wewe pita nae halafu kuoa no, usimwamini single mother hawafai hao watu, akiwa anabembeleza mahusiano , ndoa atajifanya mwema na anachoangalia ni maslahi yake yakikwama kidogo utaiona tabia na Sura yake halisi sasa sio maigizo aliyokua anakufanyia
 
Kabla ya ndoa alikuwa anakuigizia, hii ya baada ya ndoa ndio picha halisi ya jinsi alivyo
Hata mimi nimemwambia hivyohivyo alikuwa anamuigizia ili kumnasa vizuri alivyoona jamaa kaingia kichwakichwa sasa ameamua kuonyesha tabia yake halisi ameona hakuna haja ya kujipa tabu kuigiza tabia ambayo sio yake
 
Kabisa aisee, sasa hapo uamuzi ni wake abaki naye ili akipate cha moto au akimbie ili apate amani ya moyo.
 
Wacha kulea hiyo KE fukuza mara moja.

Huwezi kumshauri mtu zima aliyeamua kutokubadilika. Huyo ni kufukuza mara moja, Haraka iwezekanavyo.

Mpangiane namna gani mtalea watoto, Kisha kila mtu ashike hamsini zake.
Kumfukuza sio tatizo ila tatizo kwenye kumfukuza ni kama tutakuwa tunafukuzana maana si unajua ndoa tena na pia nimefanya mambo mengi nikiwa nae kwa maana ya biashara, nimejenga nikiwa nae na mambo kadha wa kadha so linapokuja suala la break up kuna mambo mengi yataleta ushubwada... Lakini pia ninapofikia hatua ya kutaka kuachana nae kama unavyoshauri basi reaction atakayotoa hutaamini... Kiufupi hataki kuachika na pia kubadilika kitabia kwake inakuwa changamoto... Unless niamue Vinginevyo
 
Usijitese ndugu yangu ukiona moyo hauna amani achana na hiyo ndoa
Mambo ni mengi sana kwenye kuachana ila wacha nikabiliane na hayo mambo mengi mpk mwisho ili niipate hiyo amani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…