Kabla na baada ya ndoa

Basi bwana kwa huyu kweli nilizingua... Labda wapo ambao hawapo kama huyu wangu ila nahisi asilimia kubwa wanazingua
 
Anatoka nje ya ndoa
 
Hapa kwenye neno past upbringing, malezi, alikunywa Maziwa mchana tu, Ujinga huu, akiwa na shida na Hana hela hizo excuse huwa ha zipo, ukimleta tu ndani zinaanza!

Wanandoa amkeni,

“Wake zenu wanapokuwa na attitude na kukosa attention wanaliwa, na Mungu ni fundi haswa, Hakuna mwanamke anaweza kuliwa asionyeshe mabadiliko ya tabia “
 
Hebu weka picha yake. Inawezekana ndiye nilimshindwa kwa hizo tabia zake. Zinafanana vile ni muda kama unakaribiana. Miaka 6 nyuma huko
 
Nikisema anatoka nje ya ndoa nitakuwa namuonea. Sijawahi hata kuhisi kama anachepuka kulingana na maisha ya kila siku tunayoishi
They are very smart. Kikubwa usijaribu kujiaminisha kwamba anachepuka
 
Hebu weka picha yake. Inawezekana ndiye nilimshindwa kwa hizo tabia zake. Zinafanana vile ni muda kama unakaribiana. Miaka 6 nyuma huko
Bahati mbaya mzazi mwenzie ametangulia mbele za haki miaka minne iliyopita... Niliwaruhusu wakamzike
 
They are very smart. Kikubwa usijaribu kujiaminisha kwamba anachepuka
Ni kweli wako smart sana ni vile tu huwa tunawachukulia poa kwenye vikao vyetu vya wanaume... Na ndiyo maana tunaambiwa tuishi nao kwa akili sana... Ila huyu nadhani anataka kunizidi akili maana sio kwa ujuaji huo... Mkuu sio poa, nimekaa nayo kifuani muda mrefu ila naona nataka kupasuka, heri wadau humu mnavyotiririka kwangu nafuu maana nimepata na maujanja kupitia uzoefu wenu
 
Umejua kwa nini amebadilika?
Ni vigumu kutatua tatuzo bila kujua chanzo chake.
Pole sana mkuu.
Huyu sizan kama kabadilika....inaonekana kabla ya ndoa alkua anaFake ili jamaa aingie box. Jamaa kashajaa mke karudi kwenye default mode. Hili sio jipya. Ushauri:-atafute namna ya kuishi nae katika uhalisia wake, garama za kuvunja ndoa n kubwa.
 
Hapo penye gharama za kuvunja hii ndoa ndipo panaponiumiza kichwa sana na kuendelea kuishi huku moyoni nateketea napo pananipa ugumu ndiyo maana nikaja JF unless niamue kusepa kimyakimya nikaanze upya ugenini... Point ya kuanzia sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…