GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Je, anayoiongoza Yeye ni Young Africans kama aliyokuwa akiitaja leo au ni Yanga African au ni Yanga Sports Club au Dar es Salaam Young African?
Kisha akishamaliza 'Kunijibu' hili namwomba pia anipe tofauti kati ya neno 'Kintu' alilokuwa akilitaja katika 'Press' yake ya leo na neno 'Kitu' ambalo hata BAKITA wanalitambua na linatumika na Watanzania wengi. Najua huwa ananisoma ajibu sasa.