Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Kabla ujaanza kufanya biashara yoyote usikurupuke kwanza...
Jibu haya maswali au angalia majibu ya haya maswali kutoka kwa wachangiaji alafu ndo ujiulize je unaweza biashara au upo hapa kufata ushauri wa motivation speaker
Kutoka kwa Benny Haraba
1.. je unakipaji chochote
2.. je una utaalamu wowote
3. Je una wazo la biashara
4. Je una majukumu ya kila siku
5. Je ni kijana mwenye nguvu, (are you drive and energy)
6. Je umewahi kufanya biashara yoyote jadili
7. Je uko tayari kukosolewa
8. Unaweza kutunza mahesabu ya kila siku
8. Je unaweza kuwatambua wateja wako taraji
9. Je unaweza kuwatambua wapinzani wako nguvu zao na mapungufu yao, pamoja na wateja wao, hao wateja wao wanakotoka
10. Ainisha nguvu zako na mapungufu yako kwa biashara unayotaka kifanya
11. Zitaje tabia 10 za wajasiriamali waliofanikiwa
12. Je unazijua sababu kwanini biashara zinakufa, zitaje
13. Kama unajua kwamba biashara zinakufa kwanini wewe huogopi kufanya biashara
14. Je unaweza kufanya utafiti wa masoko?
15 zitaje mbinu utakazo zitumia kujua kama wazo lako la biashara linaweza likawa halisia
Baada ya kujibu maswali haya tutaendelea na mpango mwingine
Miss Natafuta
Evelyn Salt
Vishu Mtata
Tumwesige senior
Cassnzoba
Mkulu wawe
Kalaga Baho Nongwa
Pekejeng
Mzee ngalauka
hazard Don
Thecoder ***
ngara23
MAKONGOLOSII
Lamomy