Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Sifa pekee aliyonayo chawa yenye nafuu NI uwezo wake wakijificha nakukaa kimya anapotekeleza mikakati yake ya KUJITAFTIA riziki au mkate WA siku.
Sifa zilizobaki zote zimekaa vibaya kisiasa nakiutu , labda Kwa kifupi TUZIFAHAMU baadhi ya sifa za chawa;
1. Chawa siku zote NI mnyonyaji; uishi Kwa kutegemea damu tena damu ya binadamu wanaoishi maisha Duni ,wasio na uwezo wa kuoga na kufua, wanaoishi nyumba zisizo nasakafu, wenye tatizo la akili nk. Kwa kifupi chawa Hana masihara naunyonyaji wa masikini.
2. Chawa Hana uwezo wa kuchangamana na kuwazonga matajiri. Kadri unavyoinuka kiuchumi ndivyo chawa anavyokuona adui Kwa Sababu ukiinuka kiuchumi unajitambua na kuachana na adui mkubwa wa binadamu ambaye NI ujinga na maradhi. Hakuna chawa anayependa binadamu aliyeelimika namwenye uwezo mkubwa kiuchumi. Hakuna tajiri mwenye chawa kwenye nguo.
3. Chawa unyonya wakati wa usiku ambapo binadamu amelala; hakuna chawa anayeshiba Kwa binadamu aliye macho....siku zote chawa angependa binadamu wawe usingizini . Wananchi waliolala nivigumu kumkwepa chawa.
4. Chawa akishiba Hana shukrani; mara zote shukrani ya chawa nikutapika damu Kwa aliyemlisha. Chawa ana dharau na majivuno Kwa waliompa chakula; chawa wote wakisiasa hawana shukrani Kwa wananchi
5. Chawa ni umaskini siyo utajiri; hakuna kiongozi anayetaka maendeleo anayeweza kukubali afanye KAZI na chawa. Kwa nchi za ulimwengu wa kwanza kujipambanua Kwa ulinzi WA chawa nikudhalilisha utu.
Nikiziangalia sifa hizi chache za chawa na kuangalia juhudi za Mhe. SSH napenda niseme wazi kwamba chawa siyo utambulisho sahihi. Mhe. SSH Kwa traits zake siyo mnyonyaji, Hana vita na matajiri, hapendi umaskini, hapendi kuongoza watu waliolala lakini pia waliomganda kwa maana wafuasi wake naviongozi wanaomzunguka awapashwi kuwa chawa.
Upo uwezekano wa watu wasiomtakia mema kutumia vibaya agenda hii kuwapa wapinzani agenda za kupambana na chama mapinduzi.
Sijajua kwanini washauri wake wa kisiasa awajaona kosa hili la kiufundi?