Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
binadamu tumeumbiwa kusahau , ni natureKwa uzoefu wangu nina uhakika 100% kuwa kabla watu haeajalala siku ya Ijumaa tayari movie itakuwa ishatoka.
Ni mwendo wa movie tu.
Movie hii itatolewa kufukia jambo.
Watanganyika msitolewe kwenye reli kwa aina yoyote ya movie hata kama hiyo movie itahusisha kutolewa watu uhai.
Akili yangu inaniambia niwaombee wagungwa.
Hawajahama badoMbona watu wameshahama wenyewe kutoka huko tangu janaaaa