Kabla ya January 4,2010 wageni wote waliokuwa na HIV walikuwa hawaruhusiwi kuingia USA

Kabla ya January 4,2010 wageni wote waliokuwa na HIV walikuwa hawaruhusiwi kuingia USA

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
3,087
Reaction score
6,024
Kwa upande wangu ninaona ilikuwa sawa ili kuweza kulinda nguvu kazi ya taifa hasa vijana
Baada ya Obama kuingia akatoa hilo zuio la watu wenye HIV kuingia marekani ambapo imesababisha wamarekani wengi kuupata ugonjwa huo kutoka kwa wageni japokuwa takwimu zinaonyesha wale watu wa uponde ndio wanaongoza kwenye list

Chanzo kilitokea uganda kama tanzania tungechukua tahadhari ya kuzuia wageni wasingie nchini kupitia huko kagera yasingekuwa ya sasa pia elimu ya watu kipindi hicho ilikuwa duni watu wanajipigia tu hapo kagera unakuta mji mzima umejaa makaburi tu.

Tanzania ni nchi ya 4 yenye idadi kubwa ya waathirika barani Afrika before 1984 unapiga zako kavu na huwazi kabisa but nowadays ukipiga zako afu ndomo ipasuke asee stress kama zote.
1.South africa
2.Nigeria
3.
4.Tanzania

Uzi umeisha 😂 hio ya tatu malizieni hapo
 
Marekani ili
Hata tukiweka vizuizi vikali kiasi gani huko mipakani, huwezi kuweka vizuizi kwenye tamaa za watu.
Watu wakifika mpakani wanapimwa kwanza ukikutwa na ngwengwe safari inaishia hapo unarudi kwenu kwa njia hio ingewezekana
 
Kwa upande wangu ninaona ilikuwa sawa ili kuweza kulinda nguvu kazi ya taifa hasa vijana
Baada ya Obama kuingia akatoa hilo zuio la watu wenye HIV kuingia marekani ambapo imesababisha wamarekani wengi kuupata ugonjwa huo kutoka kwa wageni japokuwa takwimu zinaonyesha wale watu wa uponde ndio wanaongoza kwenye list

Chanzo kilitokea uganda kama tanzania tungechukua tahadhari ya kuzuia wageni wasingie nchini kupitia huko kagera yasingekuwa ya sasa pia elimu ya watu kipindi hicho ilikuwa duni watu wanajipigia tu hapo kagera unakuta mji mzima umejaa makaburi tu.

Tanzania ni nchi ya 4 yenye idadi kubwa ya waathirika barani Afrika before 1984 unapiga zako kavu na huwazi kabisa but nowadays ukipiga zako afu ndomo ipasuke asee stress kama zote.
1.South africa
2.Nigeria
3.
4.Tanzania

Uzi umeisha 😂 hio ya tatu malizieni hapo
Kwanza unatakiwa ujue kuwa zuio hilo lilikuwa kwa wageni wachache sana, kama wale waliopata nafasi ya kuhamia Marekani (Permanent Residents/Green Card). Kama watu waliooa au kuolewa na Wamarekani, na walioshinda Green Card Lotto.

Wageni kama watalii, wanafunzi na wafanyakazi wengine hawakushurutishwa kupima hivyo.

Indeed kumlazimisha mtu kupima hivyo ni aina fulani ya kuvunja haki zake za faragha. Hao waliokuwa wanahamia US waliwekewa sharti hilo kwa sababu walikuwa wahamiaji, si wageni tu.

Sasa ukimzuia mtu mwenye HIV asiingie Marekani kutoka Uganda, utamzuia na Mmarekani asiende Uganda kupata HIV huko na kuileta Marekani? Waliona kuwa katika dunia ya leo ambayo ina utalii mwingi, mzunguko mkubwa wa watu, mazuio haya ni ya kijinga tu.

Zaidi, kufikia mwaka huo 2010 watu walielimika zaidi na kuona HIV stigma kuwa tatizo kubwa kuliko HIV yenyewe.

Kwamba HIV stigma inaweza kufanya watu wenye HIV wasijitokeze na kupata dawa ya kufubaza HIV, matokeo yake maambukizi hatari yakaendelea kwa kasi sana.

Yani ubaguzi dhidi ya watu wenye HIV ndiyo umeonekana kuwa tatizo kubwa kuliko HIV yenyewe. HIV inasababisha ugonjwa, na mtu anaweza kuipata kwa njia nyingi. By 2010 watu walishatengeneza dawa na kusema tusimnyime mtu nafasi ya kuishi US kwa sababu ya ugonjwa, tena ugonjwa ambao tunaweza kumpa dawa akaudhibiti. Kumnyima nafasi hiyo ni unyanyapaa wa kijinga na kimasikini.

Tena inawezekana mtu mwenye HIV ndiye akahitaji kuishi Marekani zaidi kwa sababu huku kuna tiba kirahisi kuliko huko Uganda.

Huwezi kupima kila mtu anayeingia nchini kwako.

Kitu muhinu ni kusisitiza uwazi, ubinadamu na tiba.

Ila kuna watu bado wana mawazo ya kimasikini na kibaguzi ya kutaka kuzuia free movement if people katika karne hii ya jet travel.
 
Back
Top Bottom