Kabla ya kufunga mwaka, kwa anaejua huyu msanii aliko anijuze

Kabla ya kufunga mwaka, kwa anaejua huyu msanii aliko anijuze

Enzi na Enzi

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2020
Posts
888
Reaction score
821
Ni msanii mtukutu .
Alipotea ghafra.
Hatujui aliko.

Ni Godfrat Tumaini a.k.a konk master DUDU BAYA.

Nawasirisha tafadhari.
2020/2021
 
Watu wa dizaini hiyo ulizia mtaa wa insta utapata jibu la haraka zaidi 👍
 
Kwa zile k vant na konyagi anazogida,nadhani atakuwa hospital kwa sasa.
 
Konki konki konki masta.....hivi wale jamaa aliowataja hawana marinda walimsthaki?
 
Kweli huyu mwamba kitambo hasomeki,sijui nini kimemsibu,
Mungu amlinde popote alipo,ni binadamu mwenzetu na tunaishi naye kwenye Dunia moja,kila binadamu ana mapungufu yake.
 
Sijamsikia siku nyingi, miaka ya 47 alikuwa JIRANI mitaa ya TRA pale Mwenge. Jina lake halisi Godfrey Tumaini.
 
Back
Top Bottom