Kabla ya kufunga mwaka, kwa anaejua huyu msanii aliko anijuze

Kabla ya kufunga mwaka, kwa anaejua huyu msanii aliko anijuze

Ni msanii mtukutu .
Alipotea ghafra.
Hatujui aliko.

Ni Godfrat Tumaini a.k.a konk master DUDU BAYA.

Nawasirisha tafadhari.
2020/2021
Hao wapo insta kila siku hko nasikia mi nikajua unataka kujua habari za Unique Sister, Halama Bandawe, Justin kalikawe, Dataz, Buibui, Pico, Mabaga Fresh, Salehe jabiri, LWP, University Corner, Sumu Ya Teja, DJ Yusuph( mzee wa Mbele kwa Mbele), Balozi na Zay B ahahaaaaaaaaa kwa uchache...........
Tke it easy...........it's Sunday
 
Alafu mwezi uliopita kuna taarifa zilitoka kuwa binti yake anamtafuta huyu Fafther wake kumbe mpaka leo hajulikan hayupo?
 
Ni msanii mtukutu .
Alipotea ghafra.
Hatujui aliko.

Ni Godfrat Tumaini a.k.a konk master DUDU BAYA.

Nawasirisha tafadhari.
2020/2021
Yuko kawe k.vant ishamkausha maini na midomo nashangaa juzi kati hapa katangaza kuokoa eti ameamua kumrudia muumba
 
Mara kwa mara utamuona anafanya interview kwenye online tv za You Tube, tembelea utapata habari zake
 
Back
Top Bottom