Enzi na Enzi
JF-Expert Member
- May 29, 2020
- 888
- 821
Watu wa dizaini hiyo ulizia mtaa wa insta utapata jibu la haraka zaidi 👍
Yupo nyumbani kwake
Try to be a little bit serious. Tunaongelea maisha ya mtu hapaWatu wa dizaini hiyo ulizia mtaa wa insta utapata jibu la haraka zaidi 👍
Hii ni habari njema,uko serious Mkuu?juzi nilikuwa nae geita
tulikuwa nae tunakula bia,ni mzaliwa wa huku na nimekula nae bia eneo moja linaitwa usbon clubHii ni habari njema,uko serious Mkuu?