Kabla ya Kumchagua Mwenyekiti CHADEMA Wafanye Uamuzi Huu Kwanza

Unawaona wanaowapigania Mbowe na Lissu? Wengi wanapigania nafasi za kugombea Ubunge, udiwani, viti maalum nk. Halafu baada ya haya yoye watakatwa watu CCM watakimbilia CHADEMA na kupokelewa kwa furaha...
Umenikumbusha Dr Mollel na Cecil Mwambe
 
Unatoa ushauri kwa ajili ya uchaguzi wao unaofanyika kesho kutwa au unatoa ushauri unaotaka ukaingizwe kwenye maboresho ya Katiba.
 
Pole yako hataipokea ila umefanya vizuri kumpa kwa sababu ni hailewi anachojaribu kurekebisha. Yaani anataka chama kibadilishe mfumo na katiba yake ili tu kiweze ku-accommodate baadhi ya watu?. Ni ule ule ujinga wa CCM kugawa majimbo wanapoona kuna conflict kati ya wagombea wawili wa CCM kwenye jimbo moja. Hivi Mwanakijiji hajui kuwa genesis ya demokrasia yoyote ni ukomo wa vipindi kwenye uongozi? I mean hajui kuwa tusingetakiwa kuwa hapa kumjadili kiongozi mlafi anayetaka kuwa mwenyekiti wa maisha wa CHADEMA kwenye zama hizi?
 
Nimekupenda sana kaka kwa kuwa upo logic sana. Hongera
 
Huyu ni Mzee Mwanakijiji Team Magufuli, Team CCM & na sitakosea kusema ni Team Samia a.k.a Chura Kiziwi wa Kizimkazi, Zanzibar..

Na yote haya ni kwa sababu tu wameona Tundu Lissu anakwenda kuuchukua uenyekiti wa CHADEMA. Na likely anakwenda kuwa mgombea u - Urais wa Tanzania kumkabili huyu Chura Kiziwi wa CCM. Hili linaumiza vichwa vya system nzima ya CCM na specific ya Chura Kiziwi..

All of these rubbish, anayetafutwa ni TUNDU LISSU asiwe na upenyo au platform yoyote ya kuja kukutana na Chura Kiziwi Bi Samia Suluhu Hassan...

They have to come with plan C. Ndiyo haya mapendekezo ya Mzee Mwanakijiji..

Plan A: ilikuwa, Tundu Lissu asipate uongozi wowote CHADEMA ukiwemo VC na ndo maana mashetani yakamleta Wenje apambane naye na wangehakikisha anashinda....... This plan failed spectacularly...!

Plan B: Ni hii inayoendelea. Samia Samia Suluhu Hassan (CCM) kumwaga pesa kuhakikisha TAL hatoboi na wakati huohuo kumsaidia FAM (rafiki na informer wa ma CCM) aendelee kuwa Mwenyekiti CHADEMA. Order imetolewa kuundwa kwa kikosi kazi maalumu kikihusisha TISS, Polisi na UVCCM kuhakikisha FAM anatoboa. This plan is almost failing also...!!

They have to come with Plan C. Ndiyo hii ya Mzee Mwanakijiji...

Ukicheki vibaya unaweza kudhani ni maoni ya mwana JF kama tulivyo wengine sisi...

Lakinj soma kila alichoandika between the lines. Ni kwamba, hai make sense kabisa...

Huko CCM mambo ni magumu mno. Kama mpaka makamu Mwenyekiti wao (CCM) Mzee Steven Wassira anajitoa ufahamu na kumpigia kampeni Freeman Mbowe katikati ya wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM huko Dodoma, ujue tu how things are difficult & complicated...

Haya mapendekezo ya Mzee Mwanakijiji, kwamba katikati ya uchaguzi ghafla bin vuu, anamshauri Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe ambaye ni mgombea/mshindani wa TL eti aje na hoja ya mabadiliko ya kikatiba yenye taathira iliyo wazi kabisa ya ku - accommodate personal interests na za mabwana zake huko CCM, unadhani inaashiria nini...!!???

No way. Haitakuwa hivyo at least kwa sasa....
 
Chadema wamejenga utaratibu wa fisi.

Yaani wanasubiria mkono wa CCM udondoke.

Wale wasioridhika na mchakato CCM huwa wanawabeba.
Huu ujinga ulifanyika uchaguzi wa 2020 na kumpokea yule mzee tapeli wa kisiasa. Kosa lile halikurudiwa 2020, na halitokaa lirudiwe tena. Wahuni wa ccm wakikosa nafasi huko kwao, waende vyama vingine wakaingize utopolo wao. Kwa sasa cdm wanagusa na kuachia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…