Kabla ya kumjadili Kenani Kihongosi turejee kisa cha Hayati Samwel Sita na harakati zake pale UDSM

Ana mamlaka hayo?
 
Ninakushangaa sana kwa kushindwa kupambanua hata jambo dogo kama hili.
Akina marehemu Sitta na mwenzake walikuwa wanafunzi,na aliyewachapa si tu alikuwa mkuu wa nchi,bali mwalimu pia.Ehee,kwa mwaka ule, Sheria zilikuwa ni Kama za saa hizi?Kwanza hata katiba rasmi ya nchi haikuwepo.Kingine kosa la wale wafanya biashara lilikuwa ni kosa la faini(pennal) Ila la akina marehemu Sitta lilikuwa ni kosa la kiutii au mtazamo.So don't relate the unrelated.
 
Excellent
 
Sheria hiyo haikuwepo kwa maandishi. Ila viboko viliidhinishwa kisheria kwa wala rushwa siku anaingia na siku anatoka ili akamuoneshe mkewe!
Kumbe ilikuwa kwa wala rushwa tu,na sio kwa wanachuo.Mwalimu alitumia sheria ipi ss hapo??๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”
 
Mwanachuo ndio mwanafunzi mwenyewe!

Tena alikuwa anasomeshwa na serikali!
Labda kwa ulimwengu wa ss lakini zamani mwanachuo sio mwanafunzi 100 pc walikuwa na familia zao na wajukuu ,ss ww ukamchape mtu mwenye familia na watoto ndio maana hakukuwa na sheria ya viboko kwa wanachuo.
 
Yaani tukio la Mwalimu Nyerere linafanishwa na tukio la muhuni kihongosi
Watu kama nyinyi msio na adabu ndio mnastahili kuchapwa bakora mpaka alama ziwatoke matakoni mkawaonyeshe mademu zenu huko mtaani๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”
 
Wanaopinga hawa wezi wa mali ya umma kuchapwa bakora na DC wanafanana, kwa kiasi fulani, na Blacks wa Marekani. Takwimu zinaonesha kuwa 70% - 75% ya mauaji ya Blacks yanafanywa na Blacks wenyewe, lakini mzungu akiua mweusi mmoja, Blacks wanaingia barabarani kwa kishindo na Black Lives Matter (BLM) slogan yao. Hapa kwetu, hawa hawa wanaopinga DC kuchapa bakora wezi wa mali ya umma, wakiwakamata wezi wa vitu vyao binafsi wanawavisha matairi, kuwamwagia mafuta na kuwapiga kiberiti. Ni unafiki wa aina gani huu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ