Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengi wanadharau kipengele hiki cha kiimani katika ndoa lakini ni cha muhimu sana nakazia oa/olewa na mtu wa imani sawa na yako,kama kuna watu wanaishi kwenye ndoa kwa amani muda mrefu na Imani tofauti hawa hawana misimamo kwenye Imani(hawamaanishi kwenye Imani zao)Maisha hayana formula, hakuna age ya kuoa, unaoa ukiwa tayari, wengine na 30,s wengine na 40,s. Dini pia sio tatizo kubwa , mradi heshima na wote waelewa,( wazazi wangu ni dini tofauti, wako zaidi ya miaka 60 pamoja). Kisomo unaweza tafuta msomi, msaidiane, hataki kufanya kazi. Maelewano na kuheshimiana ni jambo la msingi.
Some time kuna msemo ka hi:Habari wakuu
Zingatia haya kabla ya kuoa/kuolewa kwa mwenza wako
A-age
Umri = miaka “ zingatia mwenza wako ana umri wa miaka mingapi ni muhimu sana kujua umri sahihi wa mwenza wako na wako pia kabla
Sio kweli, mama anaenda kanisani, na baba ni muislam kabisa, heshima tuu na mapendoWengi wanadharau kipengele hiki cha kiimani katika ndoa lakini ni cha muhimu sana nakazia oa/olewa na mtu wa imani sawa na yako,kama kuna watu wanaishi kwenye ndoa kwa amani muda mrefu na Imani tofauti hawa hawana misimamo kwenye Imani(hawamaanishi kwenye Imani zao)