Mkiwa mbioni kupandisha nauli,uchafu umekithiri vituoni kwenu hapo ni Kimara na huduma imezorota madirishani kwa cashiers kila muda kujifanya hawana change #badilikeni
Pia magari mengine ya mwendokasi ni mabovu sana hasa magari ya Morocco mengi yameharibika,Pia waongeze magari ya mwendokasi wakati wa jioni kunakuwa na shida sana ya usafiri wa kutoka kivukoni kwenda kimara na kutoka gerezani kwenda kimara
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.