Gotze Giyani
Senior Member
- Feb 28, 2022
- 143
- 213
Wadau poleni sana na majukumu naomba kuuliza hivi kwa mnaojua na wenye exposure za kusafiri mara kwa mara kwenda nchi za wenzetu kama Kenya ,Rwanda,Dubai, UK, France nk
Nimeulizia nikasikia sio yellow fever vaccine tuu wanakagua hadi Hepatitis b nayo kwa miaka hii ni muhimu haswa ukiwa umetokea hizi nchi zetu za dunia ya tatu naomba msaada kwa anayejua ukweli wa hili.