Gotze Giyani
Senior Member
- Feb 28, 2022
- 143
- 213
Sijakuelewa naomba unifafanulie vizuri nielewe mkuu na iwe faida kwa wengine na ni nchi gani na gani na nini kifanyikeLazima ufanyiwe health check up Tena Kwa gharama zako kwenye hospital zao watkuchek
TB
Ukimwi
Hepatitis,na magonjwa yote
Hepatitis ndo nini nduguHabari mkuu.
Kwanza kabisa kwenye nchi za wenzetu au za ughaibuni toa kenya na rwanda 🤣🤣.
Dubai uk ni sawa ila kenya na rwanda zitoe hapo kabisa hizo ni nje ya nchi sio nchi za nje 🤣🤣🤣.
Tukiacha utani.
Chanjo ni option kwako wewe,kuchoma au kuchekecha document japo sidhani kama inawezekana kwa sehemu zote kufanya hivyo. Chanjo ya hepatitis B ni muhimu sana hata kama hausafiri kama haujaanza kuchoma anza kufuatilia sasa mkuu.Hiyo yellow fever nadhani wanaweka requirement ya nchi nyingi japo sijui idadi kamili.
Mkuu, Hepatitis=homa ya iniHepatitis ndo nini ndugu
Inaambukizwaje hiyo homa mkuuMkuu, Hepatitis=homa ya ini
Napaste kama nilivyocopyInaambukizwaje hiyo homa mkuu
Sengerma Hii.!min -me wengine safari zetu ni nyampande to busisi
Yellow fever tu kiongozi na huchanjwa mara moja tu....Ukisha pewa kale ka card unakuwa nako kila ukisafiri.Wadau poleni sana na majukumu naomba kuuliza hivi kwa mnaojua na wenye exposure za kusafiri mara kwa mara kwenda nchi za wenzetu kama Kenya ,Rwanda,Dubai, UK, France nk
Nimeulizia nikasikia sio yellow fever vaccine tuu wanakagua hadi Hepatitis b nayo kwa miaka hii ni muhimu haswa ukiwa umetokea hizi nchi zetu za dunia ya tatu naomba msaada kwa anayejua ukweli wa hili.
Nimeuliza tuu nashukuru umenijibu vizuriYellow fever tu kiongozi na huchanjwa mara moja tu....Ukisha pewa kale ka card unakuwa nako kila ukisafiri.
Mengine haya angaliwi labda kama unaonesha dalili za kuumwa kwani kiutaratibu ndege za abiria hazisafirishi wagonjwa mpaka wawe na cheti cha Dactari kinacho onesha kuwa mgonjwa anaweza kusafiri na ugonjwa wake hauambukizi au pengine kwa kuvalishwa barakoa ya N95 kama unakikohozi.
Au pengine kukiwa na magonjwa ya mlipuko kama Ebola ndio taratibu za ukaguzi huongezwa kipindi cha mlipuko........