Kuna watu wameshaa kujifanya wanayoa ushauri kwa Simba ili kufanya vzr next seasons baada ya leo kutolewa CAF.
Mimi nadhani si wakati muafaka kwani wahusika wanaugulia maumivu muda huu. Mimi naona KABLA ya kuanza kutoa ushauri tuwape muda kwanza wapoe (warudi kwenye hali ya kawaida ambayo wataweza kusikiliza kwa umakini). Aidha, nadhani KABLA ya kuwashauri, watu wafanye tathmini ya kwanini Simba anafanya vzr kwenye Makundi kuliko Knock-out stages? Hapo tunaweza kuwashauri vzr