Kabla ya kuwashauri Simba tutafakari haya...

Kabla ya kuwashauri Simba tutafakari haya...

mjogoro

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2011
Posts
882
Reaction score
652
Kuna watu wameshaa kujifanya wanayoa ushauri kwa Simba ili kufanya vzr next seasons baada ya leo kutolewa CAF.

Mimi nadhani si wakati muafaka kwani wahusika wanaugulia maumivu muda huu. Mimi naona KABLA ya kuanza kutoa ushauri tuwape muda kwanza wapoe (warudi kwenye hali ya kawaida ambayo wataweza kusikiliza kwa umakini). Aidha, nadhani KABLA ya kuwashauri, watu wafanye tathmini ya kwanini Simba anafanya vzr kwenye Makundi kuliko Knock-out stages? Hapo tunaweza kuwashauri vzr
 
Jibu ni simple...ukishaenda kwenye knockout stage unakutana na better teams.
 
Stage aliotolewa Simba Champions league ilikuwa ni stage za awali. So kila knock-out match ni advanced stage kwenye better teams. Kumbuka pia Galaxy mwaka juzi
Jibu ni simple...ukishaenda kwenye knockout stage unakutana na better teams.
 
Pia tukumbuke kwenye makundi Simba alimfunga Al Ahly mwaka jana. Je ni timu dhaifu? (Ukilinganisha na Kaizer chiefs aliyewatoa Simba kwenye knock-out stage?)
Interesting....sasa itabidi tufanye kautafiti
 
Hata nyie Makolo Leo mmepigwa nje ndani, kwenye dakika 90 na kwenye Matuta piA mmepasuliwa.. shame to you
Dah! Mbona unalazimisha nje ndani iwe kwenye mtazamo wako mkuu? Hiyo mechi imechezewa wapi? Uto alipasuliwa kimoja kwa Mkapa yaani ndani ukipenda waweza kuita mbele. Akapasuliwa kule Nigeria yaani nje , ukipenda waweza ita nyuma.

Kwa ujumla uto alikufa kibudu yaani bila kujitetea kama kifaranga cha kuku mbele ya mwewe.
 
Back
Top Bottom