Duh dola inapanda kwa kasi sana, yaani imefikia usd 350,000 ni sawa na 1.4 bilioni.Kafa kiume mwenzio . Siyo wewe uliyepigwa nyuma na mbele . 1.4 b si mchezo .
Jibu ni simple...ukishaenda kwenye knockout stage unakutana na better teams.Kuna watu wameshaa kujifanya wanayoa ushauri kwa Simba ili kufanya vzr next seasons baada ya leo kutolewa CAF.
Mimi nadhani si wakati muafaka kwani wahusika wanaugulia maumivu muda huu. Mimi naona KABLA ya kuanza kutoa ushauri tuwape muda kwanza wapoe (warudi kwenye hali ya kawaida ambayo wataweza kusikiliza kwa umakini). Aidha, nadhani KABLA ya kuwashauri, watu wafanye tathmini ya kwanini Simba anafanya vzr kwenye Makundi kuliko Knock-out stages? Hapo tunaweza kuwashauri vzr
Kama kafa kiume basi huyo hapati watoto kwa mkewe. Pole simba kumbe umekufa kiume!!!Kafa kiume mwenzio . Siyo wewe uliyepigwa nyuma na mbele . 1.4 b si mchezo .
Makundi Tsh600mln , robo Tsh800 mlnDuh dola inapanda kwa kasi sana, yaani imefikia usd 350,000 ni sawa na 1.4 bilioni.
Asa mbona uliandika 1.4 bilionMakundi Tsh600mln , robo Tsh800 mln
kichwa sio cha kubeba nywele tuu we mzeeAsa mbona uliandika 1.4 bilion
Kafa kiume mwenzio . Siyo wewe uliyepigwa nyuma na mbele . 1.4 b si mchezo .
Jibu ni simple...ukishaenda kwenye knockout stage unakutana na better teams.
Sawa mkuuStage aliotolewa Simba Champions league ilikuwa ni stage za awali. So kila knock-out match ni advanced stage kwenye better teams. Kumbuka pia Galaxy mwaka juzi
Sawa mkuu
Interesting....sasa itabidi tufanye kautafitiPia tukumbuke kwenye makundi Simba alimfunga Al Ahly mwaka jana. Je ni timu dhaifu? (Ukilinganisha na Kaizer chiefs aliyewatoa Simba kwenye knock-out stage?)
Hata nyie Makolo Leo mmepigwa nje ndani, kwenye dakika 90 na kwenye Matuta piA mmepasuliwa.. shame to youKafa kiume mwenzio . Siyo wewe uliyepigwa nyuma na mbele . 1.4 b si mchezo .
Interesting....sasa itabidi tufanye kautafiti
Hata nyie Makolo Leo mmepigwa nje ndani, kwenye dakika 90 na kwenye Matuta piA mmepasuliwa.. shame to you
Halafu yote inaingia account ya mudy.Duh dola inapanda kwa kasi sana, yaani imefikia usd 350,000 ni sawa na 1.4 bilioni.
Dah!..Ngojeni tarehe 30 mtapotea humu.Hata nyie Makolo Leo mmepigwa nje ndani, kwenye dakika 90 na kwenye Matuta piA mmepasuliwa.. shame to you
Dah! Mbona unalazimisha nje ndani iwe kwenye mtazamo wako mkuu? Hiyo mechi imechezewa wapi? Uto alipasuliwa kimoja kwa Mkapa yaani ndani ukipenda waweza kuita mbele. Akapasuliwa kule Nigeria yaani nje , ukipenda waweza ita nyuma.Hata nyie Makolo Leo mmepigwa nje ndani, kwenye dakika 90 na kwenye Matuta piA mmepasuliwa.. shame to you