Kabla ya mechi ya Simba na Yanga trh 20 tunaomba wachambuzi na mashabiki wa Simba watuambie kuna Mamelod nyingine Tz ama ni moja tu ya South Africa?

Kabla ya mechi ya Simba na Yanga trh 20 tunaomba wachambuzi na mashabiki wa Simba watuambie kuna Mamelod nyingine Tz ama ni moja tu ya South Africa?

Mzimu wa mamelodi unawatesa badoo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Poleeee
 
Nimeona bodi ya ligi imetoa ratiba ya mechi ya watani wa jadi kuwa itapigwa trh 20 mwezi huu!
Ningependa nijue na kutunza pia risiti wale wachambuzi na mashabiki wa Simba watueleze vizuri Kama Kuna Mamelod nyingine hapa Tanzania ambayo itamsimamisha yanga asipate jambo lake kwa muda muafaka!!
Ni vizuri pia tuelezane mapema Kama Mamelod alikuwa mbovu basi Mamelod ya TZ iliyo Bora itakuja kuonyesha ubovu wa Mamelod ya south Africa!

N;B Safu imara ya ulinzi itakupa makombe na Safu nzuri ya ushambuliaji itakufanya ushinde mechi (akili kumkichwa)
Majanga tena!!!
 
Hiyo mechi Simba watafute sababu yoyote ile wajitoe.
Wawaachie point tatu zao.

Hao akiba Chapombe wamechoka vibaya sana.
Eti mshambuliaji namba 9 ni Freddi
 
Back
Top Bottom