Lol!!!! Kwa kuchunguza wewe hahahaha
Hewala bwana haihusiki hapa, najiridhisha mwenyewe kwanza...lolLol!!!! Kwa kuchunguza wewe hahahaha
Halafu wewe ngoja kwanza nicheki digits zakoAisee kumbe! Haya bana!
I read btn the lines and see beyond the images!TF kuna watu wanaread between the line na wanaona ambavyo havionekani
Aisee unaona bht hapa chini alivyogangamala lolTF kuna watu wanaread between the line na wanaona ambavyo havionekani
Hewala bwana haihusiki hapa, najiridhisha mwenyewe kwanza...lol
I read btn the lines and see beyond the images!
Aisee unaona bht hapa chini alivyogangamala lol
uzuri sing'ati....huna haja ya kuiogopa!BHT nakuogopa kama u read between the lines and see beyond the images mhhh hatari kabisa hiyo
uzuri sing'ati....huna haja ya kuiogopa!
According to the Bible mwanamke aliumbwa kama msaidizi wa mwanaume,full stop!!!!Kitakachozidi hapo ni ubatili!
Meku, niko powa sana. Tusaidie basi kwenye kutii, kusujudu nk.BHT hujambo mama?
NN utii hutokana na heshima na upendo wa dhati tu! Kama hivo havipo basi utii hakuna. Hata ukimwambia mwenzio jambo fulani wala hatalitilia maanani kwa kuwa hakuheshimu na hata kutii...
Mfano hata majukumu tu ya kifamilia ya kila siku, unaweza kumwambia mwenzio afanye jambo fulani, wala asijisumbue, tena atakwambia si ukafanye mwenyewe!
Lakini kama kuna heshima na upendo wa dhati utiifu unakuja tu bila kuamrishwa.
dah awe msaidizi wa nini, au ndo vitu vidogovidogo kama wenzangu wanavyosema kila siku
You got it all wrong wewe....Hapa nazungumzia wote wawili mke na mume !Kwa nn mke akupende na kukuheshimu na huku wewe ni kinyume chake?Hapa ni nusu kwa nusu tu, na ni hapo tu mtakapopendana kwa dhati na kuheshimiana na utii wa wote ndipo mahusiano yenu yataleta maana. Vinginevyo ni upuuzi mtupu!Kwa hiyo huu utiifu anayetakiwa kuwa nao ni mke kwa mume wake? If so, that's more stupid than I thought before!!!!!Au nimekosea kuwa mke anatakiwa kuwa mtiifu kwa mumewe kwa sababu mume ndo kichwa cha familia? Manake kwa mujibu wako msingi wa utiifu ni "heshima na upendo wa dhati". Heshima na upendo wa dhati kwenye mahusiano ni two way street. Sasa kwa nini mke tu ndo awe mtiifu kwa mumewe na mume naye asiwe mtiifu kwa mkewe?
Hahahaha!!! NNMimi sielewi kabisa huu ujinga ujinga wa kwamba eti nimtii mtu (ingawa binafsi niko upande wa pili). Nikutii kivipi? Yaani ukisema kitu au ukitoa amri ndo nitii? What ze fak iz that?
Au mimi sijaelewa kuhusu hayo ya kumtii mume? Enyi wajuvi hebu nijuzeni kwa mifano namna ambavyo mke anatakiwa kumtii mumewe manake sielewi kabisa. Naona kama vile kutii na kusujudu ni distinctions without much of a difference. And good thing I live by my own rules and don't follow no one's.
Kwangu kuheshimiana na kupendana kwa dhati kusiko na masharti ndo kunahusika. Lakini siyo haya mambo ya kutii....so stupid in my opinion.