Kabla ya ndoa ujifunze lipi

Kabla ya ndoa ujifunze lipi

widget_ciyfWSmTXkI43Ootllta__.jpg
13314_1_full.jpg


...ngoja siku yawakute ndipo mtapojua tofauti ya kusujudia na kutii ipo wapi!..lol!
 
Lol Mr. Rocky mie nimejibu kutokana na tafsiri alotoa Mbu hapo
Amesema maana ya kusujudu ni kuabudu MUNGU au kuabudu mtu kupita kiasi: Asa kama ni Mumeo, yeye si MUNGU so huwezimsujudu na kama ni mumeo kwa nini umwabudu kukita kiasi?!!

Ni nabaki kwenye kutii: Heshimu na kumpenda kama MUME/MPENZI na kutekeleza yale ambayo angependa nimtekelezee......kwa makubaliano ya kuuimarisha muunganiko wetu.



Mwanajamiione hujadandia treni kwa mbele ila uko kwenye mlango sahihi
Nafikiri aliyeandika hilo neno la kusujudia hakumaanisha kuwa umsujudie na kumuogopa kama unavyomuogopa Mwenyezi Mungu bali ni kusujudu ile ya kutii na kuheshimu na kujua kuwa unayemfanyia hayo ana heshima yake na mamlaka yake ambayo umemweka kuwa ni kichwa cha nyumba. So endelea kumfanyia hayo mpe meshima yake kuw akichwa cha nyumba na baba wa familia usiondoe ile maana iliyokusudiwa
 
MJ1 haya maandiko haya....inapokuja kwa wanaume basi wamewekwa juu (kama Kristo alivyo kichwa cha kanisa basi na mume atakuwa kichwa cha famili), wanawake sisi maandiko yanatusihi kuwasujudu na kuwatii waume....

Hivi Mbu ule waraka kwa Waefeso ni nani aliandika? (alikuwa considerate angalau)

...dahhh, bht umenishikia bango jamani mwee!...mwenzio nilikuwa bado sijazaliwa, ila wanazuoni wanasema St. Paul,
wengine wanadai waliomfuatia...(mikono ya waandishi)
 
Kabla ya ndoa?
Jifunze yafuatayo;-
Ulizoea kulala peke yako ukishtuka usiku kuna mwenzako pembeni usipige mayowe ati umelala na jini.
Ulizoea kujifulia sasa amekuja wa kukufulia na kukunyoshea.
Ulizeoea kula kwa mama ntilie na zege sasa utakuwa unapikiwa.
Kikubwa ukubali kuwa ukishindwa kitandani kuna vidume vitakusaidia.
Uelewe ukiombwa ya saloon uwe mwepesi kuzama mfukoni hata akienda kulitachi akisema laki na nusu.
Ulizoea kununua toilet paper sasa elewa bajeti imeongezeka ya free style au always n.k
 
...dahhh, bht umenishikia bango jamani mwee!...mwenzio nilikuwa bado sijazaliwa, ila wanazuoni wanasema St. Paul,wengine wanadai waliomfuatia...(mikono ya waandishi)
Hahaa haya Mbu, pole kwa kukuganda ila tu huo waraka nilitaka nijue kama ni wa Paulo kwa Waefeso maana nilidhania tu. Shukrani sana. Nimeupenda na naona unahusika sana!
 
By the way Mbu kwani kutukuza ni sawa na kusifia??

mnh, kwa mujibu wa KAMUSI YA KISWAHILI SANIFU, toleo la pili yote mawili kwa kiasi fulani yanaingiliana;

Tukuz.a kt [ele] heshimu, sharifu, stahi, sifu, shaua, taadhimu. ~ana, ~ia,~wa.

Sif.u kt [ele] eleza hali ya uzuri wa jambo, kitu au mtu; shaua, tukuza;
 
hatari.jpg


Alafu jifunze kutotumia silaha kwa mke wako unaweza mkosa akaenda kwa wanao jua kubembeleza
 
Khaaa wenzio leo tumeegemea vifungu vya kwenye kitabu Kitakatifu....!

Kha mi Mungu anisamehe toka nisali X.mass ya mwaka 2009 mpaka leo hata mistarri nimeshasau
 
Hahahaha!! Mbu kwamba "I'm down on your knees"

...umeona ee?...we acha watu wajifanye 'vidume' hapa....
hakuna formula nani asujudiwe kwenye mapenzi.

Pheewww!, angalau wewe sasa umenielewa namaanisha nini...
 
...umeona ee?...we acha watu wajifanye 'vidume' hapa....
hakuna formula nani asujudiwe kwenye mapenzi.

Pheewww!, angalau wewe sasa umenielewa namaanisha nini...

Mbu inategemea mkuu mahala na wakati

Ukibainika lazima usujudu ili upate kitu roho inapenda
 
Back
Top Bottom