Kabla ya ndoa ujifunze lipi

Kabla ya ndoa ujifunze lipi

...haya sasa?....lol! bht jamani mimi si nasoma tafsiri ya maneno?KAMUSI YA KISWAHILI SANIFU, toleo la pili inasema;Sujudi.a kt [ele]1. (kd) tukuza mwenyezi mungu kwa kusujudu2. heshimu au tukuza mtu kupita kiasi. ~ ka, ~sha, ~wasujud.u kt [ele] (kd) 1. gusisha paji la uso chini wakati wa kuswali2. toa heshima kubwa inayostahili kupewa mwenyezi mungu. ~ ia, ika~, isha~, iwa~
Heshimu/tukuza mtu kupita kiasi.....lol! Hapo tayari ni makosa kumsujudu mtu/binadamu mwingine! (kwa ile maana ya mwanzo hapo juu)
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
TF... kama hukuanza kujifunza kuwa baba au mme tangu ukiwa mdogo, then i tell you it is too late.... a man is being born, and by the time he is 3 years basi ujue maandalizi ya kuwa mume/baba yameanza

I hope you started earlier than this thread

lol...hii ni quote of the month kwakweli...!

"kama hukuanza kujifunza kuwa baba au mme tangu ukiwa mdogo, then i tell you it is too late
a man is being born, and by the time he is 3 years basi ujue maandalizi ya kuwa mume/baba yameanza" - TF, July 2011.
 
Eh.......mmefika huku? Mnakimbia sana bana wengine tumezidiwa na maungio mbio zetu kwa chungio.

Haya nawaambieni........... MKE ANAMTII MUME NA SI KUMSUJUDIA!

MWanajamiione tatizo lako unatumia ungo na simu ya mchina hutafika huku
Hiyo umeitoa wapi maana maandiko yanasema mwanamke atamsujudia mumewe na mke atamuheshimu mumewe
Wewe tatizo beijing bado inakusumbua kule ni siasa tupu yaliyoamuliwa mpaka leo hawajatekeleza
 
nilikuwa sijui kumbe tuna haki ya kusujudiwa..
nitaanza kudemand haki yangu hii now lol
 
MWanajamiione tatizo lako unatumia ungo na simu ya mchina hutafika huku
Hiyo umeitoa wapi maana maandiko yanasema mwanamke atamsujudia mumewe na mke atamuheshimu mumewe
Wewe tatizo beijing bado inakusumbua kule ni siasa tupu yaliyoamuliwa mpaka leo hawajatekeleza

Lol Mr. Rocky mie nimejibu kutokana na tafsiri alotoa Mbu hapo
Amesema maana ya kusujudu ni kuabudu MUNGU au kuabudu mtu kupita kiasi: Asa kama ni Mumeo, yeye si MUNGU so huwezimsujudu na kama ni mumeo kwa nini umwabudu kukita kiasi?!!

Ni nabaki kwenye kutii: Heshimu na kumpenda kama MUME/MPENZI na kutekeleza yale ambayo angependa nimtekelezee......kwa makubaliano ya kuuimarisha muunganiko wetu.

Kwa nini amtii?

NN amtii kwa kuwa MUME ni KICHWA CHA FAMILIA kama alivyo Kristo kichwa cha kanisa! (Si tunazungumzia maandiko hapa au nimedandia treni kwa Mbele?!) Mwe
 
The Finest........
Swali tafadhali...! Eti kwani wewe umeoa....?!!
I got a couple of questions lakini yanategemea na jibu lako........:A S thumbs_up:
 
MJ1 haya maandiko haya....inapokuja kwa wanaume basi wamewekwa juu (kama Kristo alivyo kichwa cha kanisa basi na mume atakuwa kichwa cha famili), wanawake sisi maandiko yanatusihi kuwasujudu na kuwatii waume....

Hivi Mbu ule waraka kwa Waefeso ni nani aliandika? (alikuwa considerate angalau)
 
The Finest........
Swali tafadhali...! Eti kwani wewe umeoa....?!!
I got a couple of questions lakini yanategemea na jibu lako........:A S thumbs_up:
Hahahaha!! Kwanza mzima wewe miss you so much, Smiles bado sijaoa bado banaa
 
MJ1 haya maandiko haya....inapokuja kwa wanaume basi wamewekwa juu (kama Kristo alivyo kichwa cha kanisa basi na mume atakuwa kichwa cha famili), wanawake sisi maandiko yanatusihi kuwasujudu na kuwatii waume....

Hivi Mbu ule waraka kwa Waefeso ni nani aliandika? (alikuwa considerate angalau)
Lol!!! Leo shughuli ipo
 
this is a man's world.....
but it is nothin without a woman.......
 
Back
Top Bottom