Kabla ya ndoa ujifunze lipi

Kwasababu aliyeandika hivyo vifungu alikua mwanaume na kwa wakati huo aliona anastahili kabisa kusujudiwa.It gave him power...

....'tatizo'
la hivi vitabu vya dini vimeandikwa katika ule mfumo wa Present Continuous Tense...inabidi tuendelee nao tu mpaka siku ya hukumu.
 
....'tatizo'
la hivi vitabu vya dini vimeandikwa katika ule mfumo wa Present Continuous Tense...inabidi tuendelee nao tu mpaka siku ya hukumu.
Hahahaha!! Sina jinsi imenibidi kucheka tu.
 
Reactions: Mbu
....'tatizo' la hivi vitabu vya dini vimeandikwa katika ule mfumo wa Present Continuous Tense...inabidi tuendelee nao tu mpaka siku ya hukumu.
Ni hatari kweli kweli...utumwa wenye kibali nauita.
 
Reactions: Mbu
Ni hatari kweli kweli...utumwa wenye kibali nauita.
Halafu na kubadili kilichoandikwa kwenye Biblia ni ngumu nilipofika kwenye huu mstari nilijiuliza maswali mengi (Zaburi.45:10-11) anasema, "Sikia binti utazame utege sikio lako, uwasahau watu wako na nyumba ya baba yako na mfalme atautamani uzuri wako, maana ndiye bwana wako naye umsujudie"
 
Reactions: Mbu

...khaaa? sasa nawe wacheka nini banaaa? ...ukienda kinyume na mafundisho adhabu yake ni Moto!

LOl, Lizzy kama nakuona vile unamsujudia mumeo na kauli za "hewala baba, nakutii mume wangu!"
LOL, Mbu ngoja nimwambie Lizzy asiende kinyume na maandiko ya Biblia amsujudie mumewe.
 
Reactions: Mbu

...LOL, i beg to differ!...

maandiko hayawezi kubeba material zenye sexual contents.
Uzuri "unaotamaniwa" sio wa sura hapa,.. ni UZURI kwa maana ya ......., mnh!.. enhe...!
aahh, acha niyaache haya,...umri hauniruhusu kuyasema hadharani.

...'Kusujudia' vile vile chukulia kama
"
mbuzi kainama!"
 
Lol!!!!! Mbu haufai kabisa wewe kila nikitaka kujibu hii post yako naona kama vile nakoelekea dah!!! Sema kuna nikijiachia hapa itakuwa balaa ngoja ni-reserve comment lol!!!
 
Reactions: Mbu

JF is always a class no to miss.
TF umepotea kidogo kaka.
 
Lol!!!!! Mbu haufai kabisa wewe kila nikitaka kujibu hii post yako naona kama vile nakoelekea dah!!! Sema kuna nikijiachia hapa itakuwa balaa ngoja ni-reserve comment lol!!!

...ndio maana mwanzo niliandika nisijekufuru!...Ona sasa?
Maandiko hutoa mifano ya wanyama, i.e punda, kondoo,...nk...
Ahh, ngoja nibakie msomaji kwanza, ...lol!

JF is always a class no to miss.
TF umepotea kidogo kaka.
Nipo Mkuu muhimu kupata na kusoma elimu ya dini na pia kusoma vitabu vya dini kupata knowledge, soon nitakuwa Mchungaji lakini sio kama Mtikila au Kakobe lol!!!
 
...ndio maana mwanzo niliandika nisijekufuru!...Ona sasa?
Maandiko hutoa mifano ya wanyama, i.e punda, kondoo,...nk...
Ahh, ngoja nibakie msomaji kwanza, ...lol!

Lol!!!!
 
Reactions: Mbu

Impressive saana PA naona ile kazi kweli unafanya kwa utafiti na facts...
tatizo ni kua maisha sasa hivi yamebadilika saaana na kua sasa hivi dini imekua
kama obligation fulani, vile ulivyofunzwa madrasa/Sunday School unashikilia hayo
mradi tu ujue sura chache za kusalia au kusoma rozari na salamu Maria....

Dini yoyote ile... imeweka mwelekezo mzuri saana wa jinsi ndoa inavyotakiwa iendeshwe
but kila mwanadamu anafanya vile ajisikiavyo na niwachache saana wameshikilia dini na
misingi yake... Mfano kwetu waislamu wanavyo tohoa ya kuoa mke zaidi ya mmoja au
vile baadhi ya madhehebu ya kikristo wanavyo halalisha wanaume waoane...
Sijui tunaenda wapi.... kweli sijui... naona huko mbele incest itapitishwa mwishowe....
Sorry kama ilikua offtopic kidogo...
 
...khaaa? sasa nawe wacheka nini banaaa? ...ukienda kinyume na maandiko adhabu yake ni Moto!LOl, Lizzy kama nakuona vile unamsujudia mumeo na kauli za "hewala baba, nakutii mume wangu!"
Hhahahahaha....Mbu sasa we unanitafuta uchokozi.Kama ambavyo nyie hua mnasema mapenzi ya kukumbatiana na kubusiana muda wote tunayotaka wanawake ni ya kitamthilia na sio hali hali halisi (eti tunaharibiwa na utandawazi) huyo bwana ‘mapenzi sijui heshima unayotakaka ni ya kibiblia na sio hali halisi....usikubali kuharibiwa na “ya kale“ ..‘maisha hayako kama walivyotaka wao.
 
Ila inaweza kutafsiriwa vyovyote...alafu siku zote ukitaka kuelewa vizuri na usipotoshwe na mstari mmoja inabidi usome passage yote.Huyo anaesubiria kusujudiwa na mie itabidi asubiri kwa muda mrefu kama tuliomsubiria YESU.
 
PA nashukuru kwa mchango wako ulio very broad unayoyasema hayo ni machache kati ya mengi tunayoyaona nilishangaa nilipooana New York state wametoa kibali cha kuhalalisha ndoa za jinsia moja.
 
Naendelea kukusubiria mama lol!!!!
 
PA nashukuru kwa mchango wako ulio very broad unayoyasema hayo ni machache kati ya mengi tunayoyaona nilishangaa nilipooana New York state wametoa kibali cha kuhalalisha ndoa za jinsia moja.

aaiseee!! Hiyo nilikua sijaipata.... Dah! I am lost at words.... genuinely...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…